rebeccamrema
JF-Expert Member
- Oct 3, 2014
- 334
- 196
Kuna mahali ulikuwa unanijibu ulinijibu kile nilichoandika lakini kwa kutumia ID tofauti, jichunguze.
Hata hivyo, taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.
Taarifa zilisema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa IPTL, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar ya nchini Malaysia uliopelekea VIP kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na TANESCO.
Kutokana na maombi hayo ya kampuni ya VIP, Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia
wakuu! mnanikumbuka lkn? naomba hii kazi muiacche Mara moja nitawalipua mmoja baada ya mwingine achaneni na huu upuuzi wa kutetea wezi wa rasilimali zetu ni hayo tu ila kama hamtaacha nitakuja hapa JF kuueleza umma wa watanzania juu ya kutumika kwenu
acha kutisha watu wewe,umetuona wakuja nini kama wewe,kamtishe bibi yako uko kwenu,siyo sisi fara na ------ mkubwa weeh.koma kabisa kama umetumwa ni huko huko na wapambe wako hao.
wakuu! mnanikumbuka lkn? naomba hii kazi muiacche Mara moja nitawalipua mmoja baada ya mwingine achaneni na huu upuuzi wa kutetea wezi wa rasilimali zetu ni hayo tu ila kama hamtaacha nitakuja hapa JF kuueleza umma wa watanzania juu ya kutumika kwenu
Wewe ni kibarua tu kwenye hili saga naomba tena ufunge kopo lako hilo soon nakuja na Id yangu halisi niwakaange! Siwezi kufumbia macho ujinga kama huu najua unanijua vizuri wala sibahatishi kwenye jambo hili. Soon umma utajua nani mjinga na mwelevu kwa maslahi mapana ya nchi yake
Eeeh!! huyu mtu mmoja alafu!! wewe unahangaishwa nanini mpaka kuchonga ma ID mawili mawili??? kwa maslahi ya nani?? ya Kafulila????
Muda mfupi nchi na taifa kwa ujumla watawajua mpaka majina yenu kamili na mlipo na mnachopata kwa siku kuwachafua watu kwa maslahi ya singasinga! Na wapambe wake, najua mioyo mlipo inawadunda sana jasho litawatoka na ikiwezekana watanzania kwa Mara ya kwanza tutaandamana nchi nzima kuwasaka popote mlipo ili iwe fundisho kwa vijana wajinga kama nyie kusaliti nchi yao kwa vijisenti vya sambussa

Je unafahamu nini kuhusu escrow agreement??? Unafahamu sababu za kuanzisha escrow account??? Je unafahamu watajwa katika escrow account?? Niambie kwanini unafikiri IPTL hawastahili kulipwa fedha za escrow sasa??? majibu utakayo toa yawe yanatoka kwenye uelewa wako wa dhati usijibu kishabiki.
Unatutoa kwenye mjadala;
[h=2]IPTL/PAP: Hatuna kesi na TANESCO[/h]
KAMPUNI ya kufua umeme IPTL/PAP sasa imezidi kufahamika kuwa haina kesi au mgogoro wowote mahakamani baina yake na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO), imefahamika.
Hali hiyo imekuja wakati kukiwepo na habari katika mitandao na baadhi ya vyombo vya habari(isipokuwa gazeti hili) kuwa IPTL/PAP haikustahili kulipwa malipo ya ESCROW kwa kuwa kuna kesi mahakamani.
Taarifa zaidi zinaeleza kesi hiyo inadaiwa imefunguliwa na TANESCO kuhusiana na ukubwa wa gharama za uendeshaji Capacity charge unaofanywa na Kampuni ya IPTL.
Hata hivyo, taarifa zaidi kuhusiana na suala hilo, zinasema kwamba kesi hiyo ilishatolewa hukumu yake tangu 2001, ambapo Mahakama ya Kimataifa ya usuluhishi wa kibiashara ICSID iliagiza IPTL ishushe gharama zake kutoka dola milioni 4.2 hadi dola milioni 2.6 kwa mwezi.
Taarifa zilisema baada ya kumalizika kwa kesi hiyo, ndipo kukazuka mgogoro mwingine wa kimaslahi baina ya waliokuwa wabia wa IPTL, ambao ni Kampuni ya VIP na Mechmar ya nchini Malaysia uliopelekea VIP kuomba kampuni ifilisiwe na isilipwe hata thumni na TANESCO.
Kutokana na maombi hayo ya kampuni ya VIP, Mahakama Kuu iliamriwa kufunguliwa kwa akaunti maalumu itakayokuwa inatunza fedha zinazolipwa na TANESCO kwa ajili ya huduma ya umeme inayotumia.
Katibu na Mwanasheria wa Kampuni ya IPTL, PAP, Joseph Makandege alisema hawana kesi na TANESCO na anashangazwa na taarifa zinazotolewa.
Si kweli kwamba ESCROW akaunti ilifunguliwa kutokana na maombi ya TANESCO kuhusiana na mgogoro wa capacity charge, Kesi ya TANESCO iliisha 2001, na akaunti ya ESCROW ilifunguliwa kwa hukumu ya 2006,alisema.
Aliongeza; VIP ndio waliomba kufunguliwa kwa ESCROW, hivyo kusema kwamba TANESCO na IPTL kuna kesi ni upotoshaji unaopaswa kukemewa,.
Makandege, alisema kesi iliokuwepo kwa sasa ni ya mgogoro wa umiliki kati PAP/IPTL na benki ya Standard Chartered ya Hongkong inayodai kununua deni la Kampuni ya Mechmar ya Malaysia.
Kesi kati ya Standard Chartered na IPTL/PAP haihusiani na TANESCO na wawaache TANESCO watimize wajibu wao na sisi tuyatimiza wajibu wetu kwa Watanzania na tutapambana mahakamani,alisema Makandege kwa kujiamini.
Hivyo, alisema wanaolalamika kwamba PAP/IPTL imelipwa kwa makosa wao ndio wanafanya makosa ya kupotosha ukweli wa suala hilo au labda waeleze kwamba Standard Chartered ni Shirika la Umma.
CHANZO: Majira
wakuu! mnanikumbuka lkn? naomba hii kazi muiacche Mara moja nitawalipua mmoja baada ya mwingine achaneni na huu upuuzi wa kutetea wezi wa rasilimali zetu ni hayo tu ila kama hamtaacha nitakuja hapa JF kuueleza umma wa watanzania juu ya kutumika kwenu
Acha kutisha watu mkuu hayo mambo ni ya kitoto
Naona unakimbia hoja mkuu unachakuchangia wewe nenda kalale tu au changia mambo ya mapenzi
Hapana abaki tujadiliane hili swala la IPTL na tanesco,tunahtj kujua ukweli wa hili..nini kinafuata baada ya Tanesco kukiri hawana deni na Tanesco
umekosea sana ndugu yangu sikuja kumtukana mtu humu mtandaoni, na sina kasumba hiyo ya kutukana watu, Ila kama unahisi Mimi ndiye Niliyekutukana Mwenyezi Mungu na anihukumu BAK
Wewe ni kibarua tu kwenye hili saga naomba tena ufunge kopo lako hilo soon nakuja na Id yangu halisi niwakaange! Siwezi kufumbia macho ujinga kama huu najua unanijua vizuri wala sibahatishi kwenye jambo hili. Soon umma utajua nani mjinga na mwelevu kwa maslahi mapana ya nchi yake
Asa c alete hoja mezani na tubishane kwa hoja na co mambo ya kutisha watu ili wasitoe maon yao au kuchangia wanacho kijua
wakuu naomba tubishane kwa hoja na sio matusi
Najua kafulila kaongeza timu ya buku 10 kuja kutukana kama kinatumbili ila naomba tumpuuze kama wajinga wengine
Ila mbona ata yeye BAK uwa anatukanaga sana tu humu jf lakin nashangaa mods wanamuachaga tu