Ni shidaaaa... wewe ndio hujui kitu, CAG katoa ripoti halafu waziri anataka nafasi ya kuzungumza kabla ya ripoti kusomwa..! kuna ubavicha hapa au hoja? Umezidisha mapenzi wewe kwa ccm yako hata wanao ifaidi hawako hivyo..Bavicha ndiyo shida yenu hujui kitu juu ya hili unarukia tu.
Hivi watu kulipwa hela zao tatizo? IPTL wamezalisha umeme Tanesco wamenunuwa umemo huo na kuutumia na wameuza kwetu sisi. Kulikua na malalamishi kuwa charges wanazotozwa ni kubwa hivyo wakagoma kulipa. Tanesco walifungua kesi kuangalia upya mkataba na kesi imeeisha na Tanesco wameshindwa .
Makosa ya wao Tanesco kukubali mkataba wenye charges za juu hivyo walishindwa. Pia kulikua na mgogoro wa wana hisa kuhusu IPTL ilofanya fedha hizo zizuiwe kulipwa wenyewe hadi watapo maliza mgogoro wao. IPTL wamemaliza tofauti zao na BOT ikaamrishwa iwalipe sasa kashfa iko wapi.
Labda kama Tanzania tumezoea kutoheshimu mikataba na wawekezaji hasa kama sio kutoka nchi za magharibi. Ilokua sakata la Richmond yalikua kama haya na kilicho fata ni yule mwarabu wa Oman alijua kasumba za wabongo alipotaka kuwauzia ile mitambo Tanesco kina Mwakyembe wakasema labda on my dead body .
Alipotaka kuisafirisha nje TRA wakatiwa maneno ...Mwarabu akajua hawa adabu yao Wamarekani . Basi ile mitambo ikauzwa kwa kampuni ya Marekani na ipo na sasa tunanunua umeme bukheeeri kabisa na mwarabu akachukua hela yake na huku Tanesco wakishindwa kesi ya kimataifa na ndani na kulazimishwa kulipa malipo wanayo daiwa na Dowans.
Na hili la IPTL lipo kama hilo isipikua ccm hawana msimamo na huwa hawana uwexo wa kukabiliana na malumbano na wenyewe wapo weak huingia mtegoni.
ni shidaaaa... Wewe ndio huji kitu, cag katoa ripoti halafu waziri anataka nafasi ya kuzungumza kabla ya ripoti kusomwa..! Kuna ubavicha hapa au hoja? Umezidisha mapenzi wewe kwa ccm yako hata wanao ifaidi hawako hivyo..
chamviga
bavicha ndiyo shida yenu hujui kitu juu ya hili unarukia tu.
Before nlikuwa najua kama scenario ndio hii but after all the issue yakina Tibaijuka kusema wamewekewa pesa with no reason from BOT na ilikuwa inahusu mshiko wa IPTL that imeleta a lot of questions
Ila nikukumbushe tu hakuna mahala hukumu ya Jaji ilitaka Tanesco ilipe hizo hela kwa PAP..hukumu ilikuwa stranded na haikutoa maelekezo yeyote..huko kugawana hela za ESCROW account ni maelekezo ya mabwanyenye wachache na sasa wataibeba fedheha na umero waao..Yaani unakuwa huna aibu na kula rushwa kisa ni mfumo wa Chama na Serikali..kwelii!!!
analipwa kwa no of posts anazo fanya (hushangai ids hizo hizo tu kila siku zinatetea) hawez kaa kimya huyu... atatetea tu hatu ikiandukwa ccm imemfanya ......dada ake....Heri kujikalia kimya hata kama unakula nao...
Ningewaona wa maana kama wangesema wanakwenda mahakamani kukata rufaa make suala hili limeamuliwa na mahakama kuu.
Hivi watu kulipwa hela zao tatizo? IPTL wamezalisha umeme Tanesco wamenunuwa umemo huo na kuutumia na wameuza kwetu sisi. Kulikua na malalamishi kuwa charges wanazotozwa ni kubwa hivyo wakagoma kulipa. Tanesco walifungua kesi kuangalia upya mkataba na kesi imeeisha na Tanesco wameshindwa .
Makosa ya wao Tanesco kukubali mkataba wenye charges za juu hivyo walishindwa. Pia kulikua na mgogoro wa wana hisa kuhusu IPTL ilofanya fedha hizo zizuiwe kulipwa wenyewe hadi watapo maliza mgogoro wao. IPTL wamemaliza tofauti zao na BOT ikaamrishwa iwalipe sasa kashfa iko wapi.
Labda kama Tanzania tumezoea kutoheshimu mikataba na wawekezaji hasa kama sio kutoka nchi za magharibi. Ilokua sakata la Richmond yalikua kama haya na kilicho fata ni yule mwarabu wa Oman alijua kasumba za wabongo alipotaka kuwauzia ile mitambo Tanesco kina Mwakyembe wakasema labda on my dead body .
Alipotaka kuisafirisha nje TRA wakatiwa maneno ...Mwarabu akajua hawa adabu yao Wamarekani . Basi ile mitambo ikauzwa kwa kampuni ya Marekani na ipo na sasa tunanunua umeme bukheeeri kabisa na mwarabu akachukua hela yake na huku Tanesco wakishindwa kesi ya kimataifa na ndani na kulazimishwa kulipa malipo wanayo daiwa na Dowans.
Na hili la IPTL lipo kama hilo isipikua ccm hawana msimamo na huwa hawana uwexo wa kukabiliana na malumbano na wenyewe wapo weak huingia mtegoni.
Mwanzoni wengi mliona kama Kafulila ni mwehu. Leo bado mnataka kuwapa nafasi waliotuhumiwa kujaribu kusafisha hali ya hewa. Muhongo, Maswi na Werema kama serikali yetu ingekuwa inawajibika kwa wananchi ilibidi sasa hivi wawe sio tu wameondolewa katika nafasi zao, bali wawe wamewekwa ndani mpaka itakapothibitika tofauti.
Mwizi ni zito mkono na waingereza wake siku moja utaujua ukweli utamzarau sana zitto jamaa mla rushwa balaa hafai hata kuwepo kwenye nchi ni mwizi hasa.Hivi kwanini unatetea wezi? Hata kama kwa kiasi flani unanufaika na hii stystem ya mavampire lkn umezidi aisee.