IPTL haponi mtu

BAK

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2007
Posts
124,769
Reaction score
288,283
Chanzo: Tanzania Daima
 
PROF MUHONGO WALA ASIPEWE HIYO CHANSI YA KUONGEA MANAKE ANACHOTAKA KUTUHAMISHA TU KWENYE LENGO KUU. Hapa anajaribu kutafuta watu wa kufa nae kwakuwa ndio kawaida ilivyo mfa maji haishi kutapata.

Anataka kuwavika ubaya kina Kafulila na Zitto sifa mbaya kama hivi vijituhuma wanavyookoteza okoteza wakidhani ndio watanusurika katika unyama wao huu wanaowafanyia Watanzania maskini.

Hapa hili sakata lazima lidondoshe mbuyu na sisi WATANZANIA TWASEMA HATUKO TAYARI KUDANGANYWA TWATAKA KUONA PESA ZINARUDI NA WAHUSIKA WANAWAJIBISHWA. Fullstop.
 
Ningewaona wa maana kama wangesema wanakwenda mahakamani kukata rufaa make suala hili limeamuliwa na mahakama kuu.
 
CHAMVIGA
Bavicha ndiyo shida yenu hujui kitu juu ya hili unarukia tu.
 
Last edited by a moderator:
Hivi watu kulipwa hela zao tatizo? IPTL wamezalisha umeme Tanesco wamenunuwa umemo huo na kuutumia na wameuza kwetu sisi. Kulikua na malalamishi kuwa charges wanazotozwa ni kubwa hivyo wakagoma kulipa. Tanesco walifungua kesi kuangalia upya mkataba na kesi imeeisha na Tanesco wameshindwa .

Makosa ya wao Tanesco kukubali mkataba wenye charges za juu hivyo walishindwa. Pia kulikua na mgogoro wa wana hisa kuhusu IPTL ilofanya fedha hizo zizuiwe kulipwa wenyewe hadi watapo maliza mgogoro wao. IPTL wamemaliza tofauti zao na BOT ikaamrishwa iwalipe sasa kashfa iko wapi.

Labda kama Tanzania tumezoea kutoheshimu mikataba na wawekezaji hasa kama sio kutoka nchi za magharibi. Ilokua sakata la Richmond yalikua kama haya na kilicho fata ni yule mwarabu wa Oman alijua kasumba za wabongo alipotaka kuwauzia ile mitambo Tanesco kina Mwakyembe wakasema labda on my dead body .

Alipotaka kuisafirisha nje TRA wakatiwa maneno ...Mwarabu akajua hawa adabu yao Wamarekani . Basi ile mitambo ikauzwa kwa kampuni ya Marekani na ipo na sasa tunanunua umeme bukheeeri kabisa na mwarabu akachukua hela yake na huku Tanesco wakishindwa kesi ya kimataifa na ndani na kulazimishwa kulipa malipo wanayo daiwa na Dowans.

Na hili la IPTL lipo kama hilo isipikua ccm hawana msimamo na huwa hawana uwexo wa kukabiliana na malumbano na wenyewe wapo weak huingia mtegoni.
 
....tulimwoma ni mtu safi tena msomi mzuri atakayetumia taaluma yake vyema kwa taifa letu kumbe nae ni....?
 
Huyu Profesa mwizi Muhongo kwa sasa amezoea rushwa na ufisadi, je baada ya hiki kimbunga kumzoa atarudi kupiga chaki aka kufundisha?

Mtoto wa mkulima aliyegeuka fisadi ataenda kusubiri hadi nyuki watoe asali auze ndio apate hela wakati alizoea kuchota za bure kama alivyochota za IPTL?

Stay tuned
 

nimeipenda hii.
 
hakuna kitu hapo...wananchi msidanyike wala kugeuzwa mazuzu na hawa wasaka tonge
 

Before nlikuwa najua kama scenario ndio hii but after all the issue yakina Tibaijuka kusema wamewekewa pesa with no reason from BOT na ilikuwa inahusu mshiko wa IPTL that imeleta a lot of questions
 
Before nlikuwa najua kama scenario ndio hii but after all the issue yakina Tibaijuka kusema wamewekewa pesa with no reason from BOT na ilikuwa inahusu mshiko wa IPTL that imeleta a lot of questions
huyo mama kapewa hela na rugemalila ama iptl.
nasema hapa hamna kitu.hizi ni siasa mtaniambia
 
Ningewaona wa maana kama wangesema wanakwenda mahakamani kukata rufaa make suala hili limeamuliwa na mahakama kuu.

Hivi kwanini unatetea wezi? Hata kama kwa kiasi flani unanufaika na hii stystem ya mavampire lkn umezidi aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…