Granted IPPMedia ni wachovu, lakini mimi nafikiri hapa inawezekana kabisa kwamba kuna zaidi ya uchovu.Inawezekana wanaona effects za watu kusoma magazeti mtandaoni katika kupungua mauzo ya magazeti yao na wanafanya makusudi kutoweka habari hizi.
Ingekuwa vizuri kama wangewajulisha watu kwamba "tutaweka baadhi ya makala na ripoti tu, nyingine zitapatikana katika print version" kuliko kuacha watu wategemee kupata habari zote halafu wakakuta "Page Not Found" au upuuzi mwingine kama huo.
Very unprofessional.