Synthesizer
JF-Expert Member
- Feb 15, 2010
- 11,143
- 18,774
ITV hakuna ukanjanja mkuu kasome journalism alafu nenda katafute kazi pale kama utapata ni lazima upitie radio ndogo au wakupike wao kama RICHARD STEVENNdo madhara ya kuajiri waandishi kanjanja.
Tatizo elimu mtu hana competency mnampa kazi.
Hao ni polisi wa Kenya tena before.
Kumbe tatizo ni picha tu sicho kilichoandikwa? Hujawahi kuona heading za magazeti magufuli atua kwa kishindo mwanza alafu picha inayowekwa ni ya akiwa chato au ikulu?
Kwa kuzingatia mfano wako,ni kuwa alichokifanya huyo habari ya Magufuli kawekwa mtu mwingine. Habari ya Tanzania unawekaje jeshi la Kenya,wapi na wapi.Kumbe tatizo ni picha tu sicho kilichoandikwa? Hujawahi kuona heading za magazeti magufuli atua kwa kishindo mwanza alafu picha inayowekwa ni ya akiwa chato au ikulu?
Ni E.A na wao wanaujenzi kama wetu unaendelea πππKwa kuzingatia mfano wako,ni kuwa alichokifanya huyo habari ya Magufuli kawekwa mtu mwingine. Habari ya Tanzania unawekaje jeshi la Kenya,wapi na wapi.
Kama hamna ukanjanja hiyo picha apo vp sio ukanjanja huo?ITV hakuna ukanjanja mkuu kasome journalism alafu nenda katafute kazi pale kama utapata ni lazima upitie radio ndogo au wakupike wao kama RICHARD STEVEN
πππKwa kuzingatia mfano wako,ni kuwa alichokifanya huyo habari ya Magufuli kawekwa mtu mwingine. Habari ya Tanzania unawekaje jeshi la Kenya,wapi na wapi.
Sawa muraaa πππKama hamna ukanjanja hiyo picha apo vp sio ukanjanja huo?
Huyo richard steven asiyejua hata matumizi ya R na L?? Hata jina lake lenyewe anaita LICHADI STIVIN
Putz!
Ni E.A na wao wanaujenzi kama wetu unaendelea
Naelewa sana suala la kutumia kitu kinaitwa file photo. Lakini hapa huwezi kusema ni suala la file photo. Zaidi ya hilo, caption kwenye hiyo picha inasema wazi "Tanzania Peoples's Defence Force". Au hujui maana yake?Kumbe tatizo ni picha tu sicho kilichoandikwa? Hujawahi kuona heading za magazeti magufuli atua kwa kishindo mwanza alafu picha inayowekwa ni ya akiwa chato au ikulu?
πππππSasa habari ya Tanzania unasema E.A inawahusu!!?
Utakuwa wewe ndio mwandishi wa hiyo habari.
Kumbe tatizo ni picha tu sicho kilichoandikwa? Hujawahi kuona heading za magazeti magufuli atua kwa kishindo mwanza alafu picha inayowekwa ni ya akiwa chato au ikulu?
ITV hakuna ukanjanja mkuu kasome journalism alafu nenda katafute kazi pale kama utapata ni lazima upitie radio ndogo au wakupike wao kama RICHARD STEVEN
Kumbe tatizo ni picha tu sicho kilichoandikwa? Hujawahi kuona heading za magazeti magufuli atua kwa kishindo mwanza alafu picha inayowekwa ni ya akiwa chato au ikulu?
Hahaha! Kweli Mkuu, ni sawa na uandike kichwa cha habari "Magufuli asema amechoka kutuma rambirambi" halafu kwenye hiyo habari uweke picha ya Raisi Uhuru Kenyatta, halafu uandike chini yake Raisi wa Tanzania John Magufuli. Yaani huyu bwashee anaona eti sio ukanjanja ni sawa.Kwa kuzingatia mfano wako,ni kuwa alichokifanya huyo habari ya Magufuli kawekwa mtu mwingine. Habari ya Tanzania unawekaje jeshi la Kenya,wapi na wapi.
Hahaha! Kweli Mkuu, ni sawa na uandike kichwa cha habari "Magufuli asema amechoka kutuma rambirambi" halafu kwenye hiyo habari uweke picha ya Raisi Uhuru Kenyatta, halafu uandike chini yake Raisi wa Tanzania John Magufuli. Yaani huyu bwashee anaona eti sio ukanjanja ni sawa.
Sawa tutaweka ya mgambo au sungusungu πππβBuda Ina maana hujaona tatizo kwenye hiyo habari?
Mimi sio mwandishi ila kuweka picha ambayo haiendani na habari huo ni ukanjanja.
Walitakiwa waweke pic ya Askali wetu.