Root Mzizi
Member
- Dec 31, 2018
- 6
- 9
Fixed!It’s Administrator
Nahisi walikosea pale..
Ndo kitu nilichoona pekee
Mbona mie sasa hivi niko kwenye page yao sioni tatizo lolote?
For how long umekuwa ukiwatazama IPP??
Mbona mie sasa hivi niko kwenye page yao sioni tatizo lolote?





BRACHED =BREACHED
😂 😂 😂 😂 hackers wa bongo nyosoBRACHED =BREACHED
Hackers wa shule za kata hawa!
Wale walioipiga rita sio mchezoIppmedia haijawa hacked...
Hao jamaa wametengeneza website then waka i launch kama iko hacked ionekane real website ya ipp haina kikoa cha . Co. Tz inakikoa cha . Com then afu kwa utaalamu wangu nawaona hawa bado ni wanafunzi wanasbua tu