Ipo siku tutaimba na kucheza nyimbo moja nchi nzima

Ipo siku tutaimba na kucheza nyimbo moja nchi nzima

Ndoto za mchana hizi hilo li chama lenu la magwanda limejaza nyumbu wa kaskazini. Thubutuu kanda ya ziwa yoote, kusini, pwani na kati ni rangi ya kijani. Jaribuni muone kilichomtoa khanga manyoya shingoni.
 
Back
Top Bottom