Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,616
Walah ikitokea hata wiki tuu,dunia itaumbwa upya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji23] [emoji23] [emoji23] tutajidai kususa lakini ni ngumu sana kuacha hyo kitu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sanaWalah ikitokea hata wiki tuu,dunia itaumbwa upya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Niko unono kabisaa,hofu kwako chief[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] noma sana
Mzima lakini mumu?
Niko tununu kabisa, Mungu ni mwemaNiko unono kabisaa,hofu kwako chief
Wacha weeee[emoji7] [emoji7]Niko tununu kabisa, Mungu ni mwema
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Wacha weeee[emoji7] [emoji7]
Karibu tukeshe,.[emoji8][emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe unajijua kuwa u mwanaume wa hovyo!Jambo la ajabu kwa wanaume watiifu kama wewe huwa wanapata wanawake wa hovyo na wanaishia kuumizwa tu....
Lakini wanaume wa hovyo hovyo kama mimi aiseeee........
Ebu naomba niishie tu hapa
We unakeshea wapi nijiunge na weweKaribu tukeshe,.[emoji8]
Ndio mkuu....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kumbe unajijua kuwa u mwanaume wa hovyo!
Kwahiyo pamoja na kuwa na mapengo lakini unapata visu vya uhakika sio?Ndio mkuu....
Wehuoni hiyo avatar....[emoji12] [emoji12]
Ohhhooooo......[emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwahiyo pamoja na kuwa na mapengo lakini unapata visu vya uhakika sio?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nijibu kwanza ndio ukimbie kumalizia kinywaji chakoOhhhooooo......[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] Nduki
Ngoja nikamalizie [emoji481] yangu
Haya ya kupenda sijui kujali si ndio kwamba uwe bwege mpaka akufahamu nje ndani kwamba huna lolote mbele yake ni haatari sana. Onyesha upendo na kujali lakini uwe hatabiriki.Ukionyesha kumpenda yeye hajali kabisa, ukimuheshimu yeye ndo kwanza hana habari na wewe.