Hahah umeshindwa kupata concept kuwa nyie hampendeki....mwandiko wako!
haahahahahaahHahah umeshindwa kupata concept kuwa nyie hampendeki....
Huo ukanda wa mapenzi kwa sasa nimepumzika nimeyapa kisogo kwa muda....haahahahahaah
Broo love is just a game wengi wetu tunakosea kucheza.Anza kwanza kujipenda,kujikubali wewe mwenyewe kwa 100% just fill your self with full of love and others Will love you back.If you don't do so never expect any one to love you according to the law of attractionNathubutu kuwanyooshea kidole wanawake, baadhi yao wasiokua waadilifu ktk mahusiano yao. Wanawake bhana sijui wakoje? Ukionyesha kumpenda yeye hajali kabisa, ukimuheshimu yeye ndo kwanza hana habari na wewe. Sijui tutumie njia gani kuwahendo? Bila maagizo ya mola wetu kuwa tuwasitiri ninyi basi mimi ningesema mapenzi basi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii poa sana chiefDawa ni kuwasusia tu vitumbua vyao
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tutajidai kususa lakini ni ngumu sana kuacha hyo kitu[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii poa sana chief
Jambo la ajabu kwa wanaume watiifu kama wewe huwa wanapata wanawake wa hovyo na wanaishia kuumizwa tu....Nathubutu kuwanyooshea kidole wanawake, baadhi yao wasiokua waadilifu ktk mahusiano yao. Wanawake bhana sijui wakoje? Ukionyesha kumpenda yeye hajali kabisa, ukimuheshimu yeye ndo kwanza hana habari na wewe. Sijui tutumie njia gani kuwahendo? Bila maagizo ya mola wetu kuwa tuwasitiri ninyi basi mimi ningesema mapenzi basi.