Ipo siku Interview zitadoda

Ipo siku Interview zitadoda

Solarpanel

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2012
Posts
235
Reaction score
38
Nawaza sana inakuwaje unawatoa watu mikoa ya mbali unaenda kuwafanyia aptitude test. Hivi siku watu wakigoma kabisa kuja mtafanyaje? Sioti ila huku tuendako watanzania ipo siku watachoka na hamtaamini mnaita watu mia sita na vituo kumi vya intavyuu afu hatatokea hata mtu mmoja kuifanya. Ipo siku
 
n kweli brotha...hata martin luther king aliwah kusema kuna siku marekani itapata rais mweusi ikatokea....hii naona kama kuna siku pia kama unavyosema ila kama serikali haitakuchua njia stahiki...
 
Back
Top Bottom