Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,850
- 21,105
Ukionyesha tu unyonge watu wanakubully. Yanayomtokea leo Venezuela.Kawaida tu hiyo, nafikiri Dunia imeumbwa kwa ajili hiyo.......kupigana, kunyang'ana, kupatana, kupigana tena.....yaani ni maunguko tu.
Usoviet na Uchina walichapana mbona miaka ya 60s mpaka Soviet akatishia kutumia Nyuklia haaaaahUrusi ilijitanua pole pole kuelekea mashariki kufuata biashara ya manyoya ya wanyama. Ikafika hadi bahari ya pacific, ikavuka hadi kufika Alaska. Katika kujitanua huko ikafika bonde la mto Amur ulio kaskazini mashariki ya China. Majeshi ya Chini wakati huo wa Qing dynasty yaliwapiga vibaya wavamizi hao wa Kirusi. Wakaandikishiana mkataba na Urusi ikatambua kuwa bonde la mto Amur ni mali ya China.
Baadaye Urusi akapata nguvu huku China ikidhoofishwa na Uingereza na Ufaransa. Basi Urusi akatumia fursa hiyo kurudi tena bonde la mto Amur na kumlazimisha China kusaini mkataba mpya.
Eneo hilo wachina wanaliita Outer Manchuria. Kadri tunavyoona China akiimarika kijeshi na kiuchumi, huku Urusi akizidi kudhoofika tutegemee China kuidai Outer Manchuria. Au hata kudai na sehemu ya Siberia pia maana walikuwa wanadai kuwa mpaka halisi ni mto Lena.
Mwenye nguvu mpishe.
View attachment 3464062
Yah. US ndiyo alimuokoa China asipigwe na Nyuklia. Ukiwa dhaifu tabu sana. Leo hakuna wa kutishia kumnuke China.Usoviet na Uchina walichapana mbona miaka ya 60s mpaka Soviet akatishia kutumia Nyuklia haaaaah
Moja ya sababu wajamaa kugawanyika hii pia ilichangiza ukiondoa masuala ya ideologyYah. US ndiyo alimuokoa China asipigwe na Nyuklia. Ukiwa dhaifu tabu sana. Leo hakuna wa kutishia kumnuke China.
Kesho, keshokutwa China ataidai Mongolia. Dunia hii mnaform alliance, mnasolve shida iliyopo. Kesho mnazichapaSoviet ndie aliye changia mpaka Outer Mongolia[ hii Mongolia ya sasa ] kujitangazia uhuru wake toka China na kubaki inner Mongolia wakati huo China inapigana na Japan na Vita vya wenyewe kwa wenyewe
Advantage aliyonayo Mongolia ni moja taifa lolote kati ya Urusi ama China likitaka kumvamia na kupora eneo lake Mongolia ana nafasi ya kuomba msaada kwa yoyote kati ya China ama Russia.Kesho, keshokutwa China ataidai Mongolia. Dunia hii mnaform alliance, mnasolve shida iliyopo. Kesho mnazichapa
Tumsikilize Mmongolia The Mongolian Savage anasemaje kuhusiana na hili kwanzaAdvantage aliyonayo Mongolia ni moja taifa lolote kati ya Urusi ama China likitaka kumvamia na kupora eneo lake Mongolia ana nafasi ya kuomba msaada kwa yoyote kati ya China ama Russia.
Hivyo China akitaka kumvamia Mongolia basi Mongolia ataomba support ya Russia vivo hivyo Russia akitaka kumvamia Mongolia huo ndio usalama Mongolia alionao maana kapakana na nchi mbili tu China na Russia.
Ili China aweze kumvamia Mongolia basi inabidi Russia awe dhaifu ili aweze kummudu pia Russia akitaka kumvamia Mongolia inabidi China awe dhaifu wa yeye kuweza kummudu kinyume na hapo mfupa wa Mongolia unakuwa mzito kwa wote wawili China na Russia labda kama washirikiane kuimega wote wawili
UumbwaazTumsikilize Mmongolia The Mongolian Savage anasemaje kuhusiana na hili kwanza
Mmongolia kutoka himo njia panda.Tumsikilize Mmongolia The Mongolian Savage anasemaje kuhusiana na hili kwanza