Dom kuna lodge ya aina yake, ina taa za ajabu. Ukiwapo lodge kila anayeingia unamwona lakini kama unaingia guest taa zinakufanya usiwatambue watu walioko eneo la lodge. Kuna mlango mmoja wa kuingilia na milango minne ya kutokea. Ipo jirani sana na kaburi la pamoja la wahanga wa treni. Wanaoiba wake za watu wanaijua sana!