Kuna jamaa alimtongoza mtu kwenye grosary usiku alipokutana nae asbh jaamaa ikabidi ampite live akasema mmh ni huyu kila akipiga anapokea yule yule...kweli mwanga una manufaa
Weee mwangani kutamu ile mbaya!Jamani tunawezapata msaadawenu tumekuwa tukibshana mambo mazuri yanafanywa gizani ndio....sasa wengine wanasema TLN zuri ukiwa mwangani...sijuwewe kwako
lipi zuri unafaid ukiwa fizani ama mwangani ...tusaidiane ili nikanunu taa ya rangi rangi leo pale mwenge ...kupunguza mwanga
Si gizani wala wapi ni msituni tu ndo asali yake tamu mno
Plz fafanua kama MWANGA ni mke halali na GIZA ni viruka njia? Kama una maana hizo basi kiza ni bora sana kwani hakuna usumbufu.