Ipi simu nzuri kati ya Xiaomi vs Tecno vs Infinix

Hutajutia kuchukua Xiaomi. Nimekuwa fan wa samsung note kwa muda mrefu kidogo. Note yangu ya mwisho ilipo pasuka kioo, nilinunua simu mpya lakini kipindi hichi nilichukua Xiaomi Mi A3.

Aisee hii simu ni balaaa... Kuanzia camera, inavyokaa chaji na performance. Huwa natumia sana internet, kwahyo data kilaa saa iko on. Na mara nyingi huwa naingia kwenye browser kusearch vtu na kudownload files tofauti tofauti n.k

Lakini kama hii screenshot hapa chini, cmu inakatiza siku 1 na masaa 12 bado iko 14% since last time nimecharge to 100%.


Hapo ilipopanda kdogo, nilikua nacopy mafile kutoka kwenye PC kwa muda kama 7 minutes. Hii picha nyengine hapa inaonesha matumizia ya data kwa mwezi wa dec,2019 mpaka jan,2020.



Kwenye camera, hizi ni baadhi ya picha nilizowahi piga kutumia hii simu.








Xiaomi wanatengeneza simu quality sana. Sidhan kama utaweza ilinganisha na tecno a.k.a infinix kwa kipindi hiki.

Phone: Xiaomi Mi A3
 
hii kwa tz ni bei gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu hatudharau tecno au infinix,lakini mkuu Xiaomi sio ya kufananisha na product yeyote ya tecno
 
Nazijua cm 2 tu maisha yangu.
Kama ni feature phone basi utanikuta na Nokia
Na kama ni smart phone basi ni samsung.
Full stop
 
Hii simu ni bei gani mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…