Brightson7
Member
- Feb 17, 2023
- 38
- 30
Wadau kati ya oval na sister's ipi ni series nzuri ya kuangalia
Yeah nimeambiwa lkn nataka nijue ipi ndo angalau ina story nzuriSeries za tyla perry zina elements za ushoga shoga… achana nazo
Achana nazo hizo mkuu,, maudhui yake siyo mazuri.
Sawa mkuu.Tunachukua mazuri tunaacha mabaya.
Kama ilivyo semwa tunachukua mazuri tunaacha mabaya sio kwamba napenda ushoga lahashaTatizo la oval ni ushoga wazi wazi. Kama unapenda ushoga ni nzuri itakufaa
OkKama ilivyo semwa tunachukua mazuri tunaacha mabaya sio kwamba napenda ushoga lahasha
Okay na power je kama ushawahi kuiangalia ni mzuri au??
zote nzuriWadau kati ya oval na sister's ipi ni series nzuri ya kuangalia
Eeh kwa kweli oval hapana.Wadau kati ya oval na sister's ipi ni series nzuri ya kuangalia
jamaniiiTatizo la oval ni ushoga wazi wazi. Kama unapenda ushoga ni nzuri itakufaa
Ndo series yangu pendwaa,
Tuongelee hilo swala kidogo bila uogauoga. Wewe ni unae tatua marinda au unaye tatuliwa marinda?Ndo series yangu pendwaa,
Zote mbaya.Wadau kati ya oval na sister's ipi ni series nzuri ya kuangalia