Mwana Ilala
JF-Expert Member
- Jan 29, 2013
- 1,286
- 488
Nlikuwa nikitumia Connectify Dispatch genuine Copy yapata miaka saivi. Lakini nlipokuja kuweka Pdproxy VPN kwenye pc yangu kukawepo na Ukinzani. Pdproxy ikakataa ku-connect hadi nlipo-uninstall Dispatch. Nami naihitaji kwa sana hii Connectify both hotspot and Dispatch. Nifanyeje ili ziweze ku-exist zote kwa pamoja!?????? Kama nawe umekutana na hili tatizo tafadhali tujuzane how to handle this.
Thanks.
Thanks.