Ipi niweke as first priority kati ya hizi?

Ipi niweke as first priority kati ya hizi?

Omba bachelor of science in general udsm u specilize kwenye physcs na chemistry
 
omba irrigation and water resource engineering SUA. afuu omba education pia acha dharau wakat umefaul kimagumashi
Issue si kufaulu kimagumashi issue ni kusoma kitu sahihi walimu sasa ivi serikali imewatupa sana yani si fanu ya kusomea ni bora aende ardhi pale kuna course hata usipo ajiriwa unakula tu mtaani pesa
 
Issue si kufaulu kimagumashi issue ni kusoma kitu sahihi walimu sasa ivi serikali imewatupa sana yani si fanu ya kusomea ni bora aende ardhi pale kuna course hata usipo ajiriwa unakula tu mtaani pesa
kasome agriculture engineering SUA hiyo unaweza jiajir kwa PCM yako ukisoma coz kwa sifa ambazo huwez anza mwenyew kujiajil utapata shida .ungekuwa umesoma biology ningekushaur usome veterinary medicine,animal science,general agriculture n.k hizo kama kutakuwa hakuna ajira kabisa waweza anza kujiajil
 
Back
Top Bottom