Ipi niweke as first priority kati ya hizi?

Mr.panya

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
248
Reaction score
279
Wakuu nina DDE pcm,mwanzo nilichagua mech DIT ila nimeambiwa kua sina vigezo,nataka nichange niweke mojawapo kati ya bsc general, bsc environmental science and management au bsc industrial eng and management(Mzumbe).Naombeni ushauri wenu ipi ni bora kati ya hizo au kama munaweza kupendekez course nyingine tofauti na hizo itakua vizuri zaidi
 
Mzumbe wana engineering (be it of any kind) au labda sielewi maana ya engineering in a broad sense. Najaribu kufikiria unaomba kazi kuwa ulisoma industrial engineering Mzumbe the would be employers expertise yako and training watai-view vipi?
 
Kwani we unataka kuwa nini? Hakuna mwongozo wa qualifications wa kila kozi na kila chuo? Tuliza akili.
 
Mkuu nilikua na mpango wa kusoma engineering ila naona nimegonga mwamba,nimeamua kusoma course nyengine yoyote ambayo ni nzuri,sasa ndio naomb mnisaidie hiyo course
 
Mzumbe wana engineering (be it of any kind) au labda sielewi maana ya engineering in a broad sense. Najaribu kufikiria unaomba kazi kuwa ulisoma industrial engineering Mzumbe the would be employers expertise yako and training watai-view vipi?
Mkuu hiyo ni kozi ya management sio engineering inatolewa mzumbe
 
Angalia pale ardhi university,chagua environmental eng/municipal#industrial Service eng/environmental science/landscape architecture,yani zipo nyingi tu pale
Poa bro ngoja nizicheki
 
Back
Top Bottom