Ipi nichukue kati ya IST na Golf 4 GTI

zhang laoshi

JF-Expert Member
Aug 2, 2014
425
551
Polen na mihangaiko ya maisha, katika kujipanga kimaisha kuwa na gari or kuwa na ndoto ya kumiliki gari ni muhimu coz inaturahishia mishe zetu mjini, nime make tuela kangu, sasa sijui ipi nichukue kati ya gari aina ya IST na Volkswagen Golf 4 GTI, please msaada kwa anayezijua zaidi kifaida na kihasara, ili nimake decision soon. Ili nami nijue bei ya mafuta sheli.

1597915952832.png

IST

1597916107021.png

Golf 4 GTI
 
Polen Na mihangaiko ya maisha, katika kujipanga kimaisha kuwa Na gari or kuwa Na ndoto ya kumiliki gari Ni muhimu coz inaturahishia mishe zetu mjini ...., nime make tuela kangu, sasa cjui ipi nichukue kati ya gari aina ya ist Na Volkswagen Golf 4 gti, pls msaada kwa anayezijua zaid kifaida Na kiahasara, ili nimake decision soon.. Ili nami nijue bei ya mafuta sheli....
Kwakuwa ni gari yako ya kwanza chukua ist mkuu.

Lakini acha kufananisha gari na usafiri mkuu.

Huwezi fananisha gofu vw na ist mkuu dharau hizooo
 
Polen Na mihangaiko ya maisha, katika kujipanga kimaisha kuwa Na gari or kuwa Na ndoto ya kumiliki gari Ni muhimu coz inaturahishia mishe zetu mjini ...., nime make tuela kangu, sasa cjui ipi nichukue kati ya gari aina ya ist Na Volkswagen Golf 4 gti, pls msaada kwa anayezijua zaid kifaida Na kiahasara, ili nimake decision soon.. Ili nami nijue bei ya mafuta sheli....
VW Vs IST= sumsang Vs iPhone. Irrelevant comparison
 
Polen Na mihangaiko ya maisha, katika kujipanga kimaisha kuwa Na gari or kuwa Na ndoto ya kumiliki gari Ni muhimu coz inaturahishia mishe zetu mjini ...., nime make tuela kangu, sasa cjui ipi nichukue kati ya gari aina ya ist Na Volkswagen Golf 4 gti, pls msaada kwa anayezijua zaid kifaida Na kiahasara, ili nimake decision soon.. Ili nami nijue bei ya mafuta sheli....
To me, nikiangalia spares availability, IST MKUU...
 
Polen Na mihangaiko ya maisha, katika kujipanga kimaisha kuwa Na gari or kuwa Na ndoto ya kumiliki gari Ni muhimu coz inaturahishia mishe zetu mjini ...., nime make tuela kangu, sasa cjui ipi nichukue kati ya gari aina ya ist Na Volkswagen Golf 4 gti, pls msaada kwa anayezijua zaid kifaida Na kiahasara, ili nimake decision soon.. Ili nami nijue bei ya mafuta sheli....
Kwa ushauri wangu usichukue VW Golf, Chukua VW Polo 2007 Model au juu; Utaifurahia na kufurahia maisha ya kuingia Petrol Station.
Angalizo, spares za VW bei ni juu kidogo so unaweza tishika, ila spares zake ni original so zinakaa muda mrefu. Kila la heri kwenye uchaguzi.
 
Pamoja mkuu
 
Mkuu VW golf kama unaanza kumiliki gari itakutesa, pia kama huna knowledge na ufundi kwa mafundi wetu hawa watakutia hasara labda kama utakuwa unaipeleka kwenye modern garage lakini kwa hawa mafundi wetu wa uswazi itakucost, gharama ya spea ni kubwa na availability ya spea ni complicated kwa hapa bongo,

Ila kama unapenda maspeed kama mimi Golf ni nzuri na inakimbia lakini kwa barabara zetu pia itakulimit, ziko sensitive kwa mafuta pia, BP,TOTAL ndio uweke mafuta lakini hizi petrol station za kibongo aisee utaua fuel pump kila siku na fuel pump ni zaidi ya 300000/ wakati za kijapani ni 80000/

Ist ni nzuru kwa mazingira yetu, spea parts zinapatikana na ni rahisi pia, pia ni rafiki kwa mafundi wetu...
 
Polen Na mihangaiko ya maisha, katika kujipanga kimaisha kuwa Na gari or kuwa Na ndoto ya kumiliki gari Ni muhimu coz inaturahishia mishe zetu mjini ...., nime make tuela kangu, sasa cjui ipi nichukue kati ya gari aina ya ist Na Volkswagen Golf 4 gti, pls msaada kwa anayezijua zaid kifaida Na kiahasara, ili nimake decision soon.. Ili nami nijue bei ya mafuta sheli....
Toa neno GTi fananisha VW Golf ya kawaida tu 1.6i hivi kwasababu GTi ni perfomance car na IST ni gari ya kawaida tu. Katika gari rahisi kuhudumia kutoka Ulaya ni VW Golf hapa Tz nyingi ni mk4. Kama unaona kuhudumia vw golf mk4 ni ghali usijaribu gari ingine yoyote ya Ulaya.

Napenda kukujulisha wewe na wengineo vw golf mk4 spare parts ziko kibao kama toyota, hadi zilizokatwa zipo.
VW Golf 4
HPIM0073.jpg

VW Golf 5
volkswagen-golf-mk5-1.jpg
 
Mkuu VW golf kama unaanza kumiliki gari itakutesa, pia kama huna knowledge na ufundi kwa mafundi wetu hawa watakutia hasara labda kama utakuwa unaipeleka kwenye modern garage lakini kwa hawa mafundi wetu wa uswazi itakucost, gharama ya spea ni kubwa na availability ya spea ni complicated kwa hapa bongo, Ila kama unapenda maspeed kama mimi Golf ni nzuri na inakimbia lakini kwa barabara zetu pia itakulimit, ziko sensitive kwa mafuta pia, BP,TOTAL ndio uweke mafuta lakini hizi petrol station za kibongo aisee utaua fuel pump kila siku na fuel pump ni zaidi ya 300000/ wakati za kijapani ni 80000/

Ist ni nzuru kwa mazingira yetu, spea parts zinapatikana na ni rahisi pia, pia ni rafiki kwa mafundi wetu...
Ni kweli kabisa, ila nadhani ni lazima pia hiyo availability ya spare ya IST ufahamu na UBORA wake, nenda pale KISANGANI ulizia fuel pump original ya IST; nikimaanisha kama hiyo iliyokuja na Gari toka ulipoiagizia; bei zinafanana kabisa.

Mfano mrahisi nanunua oil filter kwa 30,000/=, naweka oil ya 75,000/= ila natembea km 9,000 bila wasiwasi. Mafundi ni kweli pasua kichwa ila kwa sasa kuna mafundi wazuri tuu wanatengeneza hizo gari.
 
Back
Top Bottom