Ipi ni THE BEST SERIES?...:'twenty four(24)' na 'ALIAS'

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,035
Habarini ndugu zangu wanajamii!
Unapozungumzia MOVIES ZA UKWELI,hutakosa kusikia watu wakizungumzia SERIES MBALI MBALI,zikiwemo:
24-ambayo utakutana na JACK-BOUER,DAVID PALMER,WAYNE PALMER,CHLOE,CURTIS,HABIB MWARUWANI,GENERAL JUMA,na wengine wengi sana.

Pia utasikia series moja MATATA SANA:
ALIAS(au alliance)-hapa kuna kina SYDNEY BRISTOW,JACK BRISTOW,DIXON,SLOANE,TIPPIN,FRANCIE,LAMBARD,PATEL,na wengine wengi.

Series hizi mbili nilizozielezea ZINABAMBA ILE MBAYA!kuna matechnologia ya kufa mtu namna ya kukabiliana na magaidi,wauza silaha,wauzaji wa drugs n.k,ni reflection ambayo tunajifunza ulimwengu ambao nchi zilizoendelea wapo,wakati sisi tunakabiliana na MAFISADI.

Anyways,mimi naomba mchango wa mawazo hapa,ipi ni THE BEST SERIES.maanake zote ni FULL MATEKNOLOJIA.

tujadili
 
Sijawahi kuangalia Alias, ila nimekuwa naangalia 24 tangu imeanza pia kuna series kama Chuck na Burn Notice hazifikii level ya 24 lakini ziko very funny.
 
Mambo yote Desperate House Wives maana utakenua mwanzo mpaka mwisho hapo utamuona character ambaye anaitwa Gabrielle Solis ambaye amechezwa na Eva Longoria-Parker, pia kuna watu kama Nicollete Sheridan, Marcia Cross etc. If u r a fan of romantic, comedy and drama series then hapa ndipo kwako
 
Sijawahi kuangalia Alias, ila nimekuwa naangalia 24 tangu imeanza pia kuna series kama Chuck na Burn Notice hazifikii level ya 24 lakini ziko very funny.

MKULU JARIBU KUIANGALIA ALIAS!utaipenda sana,halafu then itakupa changamoto kubwa sana,kwenye hili swali la msingi
 
XIII Conspiracy wakuu...hii mi nimeikubali!!

Well 24 is good ila naona kama imejilimit kuweka matukia yote ndani ya 24hours!!!!

Alis sijapata wasaa wa kuiangalia nitaisaka leo then nitarudi na majibu...

Kwa comedies kuna Chuck, worst week, dirty sexy money, burn notice etc

The only commedy ambayo imenipa some reflections about life inaitwa "LIFE" hii iko poa na nimeipenda
 
XIII Conspiracy wakuu...hii mi nimeikubali!!

Alis sijapata wasaa wa kuiangalia nitaisaka leo then nitarudi na majibu...

kaka wakati unaisaka alias mimi niaisaka conspirancy,then tutapeana taarifa hapa hapa!pia kuna series ingine ya kiume kweli kweli inaitwa THE UNIT.yupo DAVID PALMER humo ndani,yule black american aliyeact kama rais wa u.s kwenye 24.IPO POA ILE MBAYA

kachek alias,utaniambia mwenyewe.
 
Nafikiri 24 ipo juu ingawa Alias nimeiangali mara chache. Ila kiukweli licha ya kwamba natoka nje ya mada ila Mambo yote Prison Break, maana Episode ya jana ambayo ni mpya Michael ameambiwa na Mama yake mzazi kwamba Lincoln sio Kaka yake ila wali muadapt. Mwisho kabisa Christina Scofield (Mama wa akina Michael na Lincoln) ametega mtego ambao inaonekana kabisa kwamba episode inayofuata jamaa wanaweza kurudi tena jela
 
Mambo yote 24hrs wakuu....labda iishe ndio tunaweza tafuta mpinzani...kwa sasa jamaa bado wameshika chat.....wewe wa redio anzisha thread ingine.

Prison break mkuu umenitamanisha sijaiona nimeangalia mpaka ya 18 tu...kurudi jera kwa hawa jamaa sijui kama itawezekana...labda michael aende harafu lincon afanye kama michael kwenda kumtoa...ili kuchanganya kabisa mama yao...general nae sijui atakuwa kafikia wapi na christina....kwani wanaonekana ni wapizani wa kufa mtu..
That all am looking for now...more that 2 series...na kazi ya kutafuta maisha...unaweza kuta unachelewa kazini kila siku...au kusinzia kwenye presentation.

Regards
Buswelu
 
The Unit wameiga 24, Prison Break ni worse and thank God ndio season yake ya mwisho I just can't stand it.

24 inaisha season ijayo and possibly watakuja na movie ya kumalizia.
 
24 imetulia yani ni kali, story ni nzuri na characters wake wako makini Jack Bauer (K S) na wengine karibu wote ni wazuri sana, ipo eventful and fast. Alias sijaiona , Prison break ni nzuri lakini kuna kipindi episode zinaboa, (I mean u can do sth else while watching) while it is not the same for 24 sijawahi kuboreka na 24 hata episode moja... and u can not predict it.
 
Wadau mimi nina swali moja hapa Dar es salaam radio gani kali kati East Africa Radio na Clouds Fm

Duh...
watu tuko kwenye mood nyingine wewe unaleta stori zingine..!!
Anzisha thread nyingine ya radio stations mkuu...hii ni ya movies..
 
Mambo yote Desperate House Wives maana utakenua mwanzo mpaka mwisho hapo utamuona character ambaye anaitwa Gabrielle Solis ambaye amechezwa na Eva Longoria-Parker, pia kuna watu kama Nicollete Sheridan, Marcia Cross etc. If u r a fan of romantic, comedy and drama series then hapa ndipo kwako
Unatutoa nje ya mada.
Suala ni 24 au Alias.
 
The Unit wameiga 24, Prison Break ni worse and thank God ndio season yake ya mwisho I just can't stand it.

24 inaisha season ijayo and possibly watakuja na movie ya kumalizia.
Mkulu
Unaposema 24 inaisha season ijayo unauhakiki gani?

Nijuavyo mimi sasa wapo season ya 7 ya Madam President.

Nipe hiyo source ya taarifa ya kumalizika kwa hiyo series ya 24,nijiridhishe ni muhimu kwangu.

Mimi ni mgonjwa wa 24.
 
Duh!nimekubali kwamba JACK-BEUER alitushika.kila member wa mamovie anaikubali 24
 
Mkulu
Unaposema 24 inaisha season ijayo unauhakiki gani?

Nijuavyo mimi sasa wapo season ya 7 ya Madam President.

Nipe hiyo source ya taarifa ya kumalizika kwa hiyo series ya 24,nijiridhishe ni muhimu kwangu.

Mimi ni mgonjwa wa 24.

The hit show's executive producer Howard Gordon has told E! that there will be an eighth season of the series.

"We're gearing up for a May start date," he said. "I'm with the writers now just putting our heads together, coming up with an idea. Unless we fail to come up with an idea that's satisfactory, you'll see an eighth season."

However, the producer also hinted that the eight season could be Jack Bauer's last, despite rumours of a possible post series movie.

"We may decide ultimately if there's not a movie [story] worth telling, Jack may see his last day on television," he said. "He could die in the series. I think that's possible."
Hapo kwenye blue, kama umeshasoma plot ya Season 8 ambayo wanaanza kushoot mwezi huu(May) timeline yake itapick up mwisho wa Season 7 na Anil Kapoor atakuwemo, ila Tony Almeida bado hajathibitisha kurudi.

Kwa wale wanaofuatilia 24 tangu imeanza watajua kuwa Season 8 CTU inarudishwa na itakuwa based in New York[somehow niko excited na hili jambo].
 
wagjameni,

24 ipo poa kinoma wakubwa zangu, ila Alias iana uzuri wake nayo lakini sio kama 24.

Pia kuna series nzuri Kama:
Prison Break Season 4,
CSI,
CSI New York,
CSI Miami,
NCIS,
The Unit,
The West Wing,
Without a Trace,
Law and Order-Special Victims Unit and
Law and Order SVU

kwangu mimi hizo ndizo huwa naziangaria sana sana bandugu
 
Back
Top Bottom