Ipi ni THE BEST SERIES?...:'twenty four(24)' na 'ALIAS'

Wakuu hii 24 naona kuna watu wana uzalendo wa nchi yao kupita kiasi.Mtu kama Jack Bauer ni mzalendo wa kweli afu pia anafanya kazi yake kama inavyostahilia
 
jack-beuer yuko safi.KWENYE ALIAS kuna mtu anaitwa JACK-BRISTOW,na sydney bristow baba na mtoto hao.ACHA KABISA
 
Nilishawahi kuona series moja inaitwa "OZ" au Oswald Correctional Facility sijui wadau mliowahi kuiona mnaizungumziaje!
 
Back
Top Bottom