Ipi ni the best antivirus for tablets?

Fofader

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
860
293
Wakuu naomba ushauri kutokana na uzoefu wenu. Ipi ni the best katika categories zote mbili ya kununua na ya bure (free)?
 
Hakuna haja ya AV kwenye tablet, ili mradi uinstall software kutoka official stores.
 
Wakuu naomba ushauri kutokana na uzoefu wenu. Ipi ni the best katika categories zote mbili ya kununua na ya bure (free)?

Kumbuka, siku zote hakuna mlo wa bure. Na vilevile wahenga walisema bure ni ya ghali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom