Ipi ni simu bora zaidi kati ya hizi

Ipi ni simu bora zaidi kati ya hizi

TRIPLE H

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
651
Reaction score
351
wadau poleni na majukumu yenu ya kila siku.

Naombeni mnisaidie kujua simu bora zaidi kati ya samsung galaxy s4, huawei y300/y330, y511 na huawei g6 pamoja na tecno s9!

Aidha nisaidieni kujua bei zake kwa hapa Dar.

ahsanteni.
 
simu yangu htc x920 imeshindwa kusoma laini,nafanyeje?
 
wadau poleni na majukumu yenu ya kila siku.
Naombeni mnisaidie kujua simu bora zaidi kati ya samsung galaxy s4,huawei y300/y330,y511 na huawei g6 pamoja na tecno s9!
aidha nisaidieni kujua bei zake kwa hapa dar.
ahsanteni.

# Kwa hizo ulizotaja simu bora zaidi ni S4

# Simu ya bajeti ndo na bilora zaidi ni Y330 tsh 130'000

Ungesema bajeti yako ungepata pendekezo la simu ya kununua.
 
Una sh ngapi bajeti yako?
Unaidhalilisha S4 kuiweka na hivyo vimeo
Na kama unaweza nunua S4 basi upo vizuri, unaweza kupata simu bomba
 
nina laki nne pendekeza simu bomba,
napenda kupiga picha na kuaccess internet yenye speed
 
# Kwa hizo ulizotaja simu bora zaidi ni S4

# Simu ya bajeti ndo na bilora zaidi ni Y330 tsh 130'000

Ungesema bajeti yako ungepata pendekezo la simu ya kununua.

Mwl.mi budget yangu sh.laki 3 hadi 3.5
 
Back
Top Bottom