kwa bei za tecno N3 na P3 zote zipo sawa. kwa perfomance P3 ni dualcore ila wamesahau kuboresha betri hivyo huisha chargi haraka. N3 inadumu sana charge kuliko smartphone nyingi.
unapotaka kununua simu ya android mkuu angalia zaidi RAM NA ROM. na atleast iwe na android 4 kwa sasa.
mtu asikudanganye. karibu zote vifaa vya ndani yaani chipset yake watengenezaji ni wawili tu. mediatek na qualcomm.
usihadaiwe na gamba la nje samsung, htc, etc
hawa tecno wanatengeza simu za chipset zote mbili za mediatek na qualcomm.
ila mie nakushauri uangalia XTOUCH 405 kama bajeti yako ni ya P3 na N3,
X405_Xtouch | touch the world
hizi za 5 inch series niliziona kwenye laki 2 na nusu. ila watu wanazivamia sana. zimeisha zote within a week, ngojea next week mzigo mwengine unakujaHiv hiz sim za Xtouch zinapatikana wap hapa Tz..?? Naitafuta sana X508, nipe na bei yake, kama unaifaham..
hizi za 5 inch series niliziona kwenye laki 2 na nusu. ila watu wanazivamia sana. zimeisha zote within a week, ngojea next week mzigo mwengine unakuja
Thanx
phantom A+ bei yake inaenda ngapi wadau??hizi za 5 inch series niliziona kwenye laki 2 na nusu. ila watu wanazivamia sana. zimeisha zote within a week, ngojea next week mzigo mwengine unakuja
Thanx
hizi za 5 inch series niliziona kwenye laki 2 na nusu. ila watu wanazivamia sana. zimeisha zote within a week, ngojea next week mzigo mwengine unakuja
Thanx
phantom A+ bei yake inaenda ngapi wadau??
Wadau kuna hii, at&t ni smart phone ipo vizuri sana...PANTECH 709..tuijadili,just kupeana knowledge wazee
naona kuna mkakati maalum wa ku promote Tecno hapa JF. Ukweli unabaki kuwa ni simu feki kama zingine hata kama zinashika neti. ni vyema zingejadiliwa kwenye blogu ya full shangwe au Gospel kitaa
A cha kudanganywa techno dsm posta inauzwa lakini 5 maeneo ya kariakoo inauzwa lakini 4.5 ila kwenye maduka ya jumla nadhani itakuwa lakini 3.7.....ni simu mmoja matata Nokia lumia Yangu bye byeeeeeee nimeamia android f7A+ matata
Unatumia Lumia ngapi ngapi?
520 michosho tu
Hiyo cm bei yake ni lakini 4.5 hadi 5.mkuu Nina phantom yaani naenjoy sana hivi salsa hatuangalii jima la kampuni nilikiwa na Nokia lumia huduma ya mpesa na huduma za salio hazifanyi kazi na upuuzi mwongine.....sasa nemenumua tecno f7 ni simu nzuro sana.hasikudanganye mtu
hizi za 5 inch series niliziona kwenye laki 2 na nusu. ila watu wanazivamia sana. zimeisha zote within a week, ngojea next week mzigo mwengine unakuja
Thanx