Ipi ni njia mbadala ya kumwambia mwenza wako kuwa ananuka nanihii...?

kuna tangazo la kupiga mswaki superspot ukiliona kama uko nae nmwambie napenda sana hili tangazo kama ana akili ataanza kukuelewa
 
Mnunulie zawadi kama dawa ya meno perfume au spray nzuri za kike pia mkiwa pamoja mfano mmemaliza kula mwambie baby twende tukaswaki tutoe mabaki ya chakula pia kuoga uwe unamsisitiza kufanya usafi wa mwili ktk lugha nzuri
 
Mnunulie dawa za kuponya hayo magonjwa na utampa kama zawadi,lakini kabla hujampa mwambie bebi unajua nakupenda sana na sitaki nikuache nataka uwe mama watoto wangu.Kwahiyo utamuelezea tatizo lake kama vile na wewe ulishawahi kuwa nalo na ukaenda hospital ukapewa dawa hizo zikakusaidia na mwambie na yeye ajaribu hizo dawa huenda zikamsaidia.
 
Mnunulie dawa ya meno ya FOREVER LIVING INAITWA FOREVER BRIGHT TOOTHGEL & DEODORANT/PERFUME ya forever, ni nzur sana na hill tatizo litaisha. Km VP in pm for more clarification
 
Kuhusu kikwapa achukue ndimu aikate kipande ajisugulie kwapani kitaondoka awe anatumia ndimu kujisugulia kwapani na kuhusu kunuka mdomo mwambieni awe akipiga msuwaki pia apige na ulimi ausugue harufu itapotea kama unampenda mwambieni hatohamaki
 
Mpuuzi Huyo Na Nimeshamgundua Kuwa Ni MNAFIKI Na Tena Sitaki Kabisa Mazoea Mazoea Nae. Kaka Kaka Mimi Nilimwambia Kuwa Naingia Humu Kutafuta Dada au Ndugu? Humu Ni KAZI TU Basi!

Mimi nilidhani mnajuana!!
Ungempm tu umalizane nae.

Kaja na wembe,umekuja na panga kabisa!!
 
Back
Top Bottom