Ipi ni maana halisi ya MAISHA na
kama hapa haipo nipe ya kwako.
1.Maisha ni foleni
2.Maisha ni safari ndefu isiyo na
likizo
3.Maisha ni kupanda na kushuka
4.Maisha ni mzunguko
5.Maisha ni kufa na kuzaliwa au
6.Maisha ni kutafuta?
maisha ni ndoto huwez jua kesho itakuwaje
Maisha ni "Club" ipo maeneo flani pale jijini Dar.