Ni kutafuta urahisi tu, wakati mwingine huwezi kuitoa simu kila baada ya nusu saa kuwasha data kuangalia email mpya, mitandao ya kijamii n.k, program nzuri mfano Juice Defender Ultimate inafanya yote hayo kwa ajili yako, japo pia unaweza kuhifadhi moto zaidi kwa ku modify vitu kadhaa kwenye build.prop na kuweka uwezo wa init.d kwenye cm yako na kuweka scripts ambazo zinafanya vitu kadhaa automatiki kila unapoiwasha simu.