Ipi ni App nzuri ya power saving?

KAFA.cOm

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2013
Posts
1,300
Reaction score
743
Habari zenu wakuu,

Nlikuwa naomba kuelimishwa kidogo kuhusu hizi apps za power saving. Je, huwa zina faida kweli? Mfano mimi natumia app ya battery doctor lakini bado charge inaisha mapema. Nlikuwa naomba kujuzwa ipi ni app nzuri kwa tecno m3?
 
Asante ndetichia nimefanikiwa
 
Hazisaidii. Huwa ni kama profiles ambazo zina control power consumption. Mfano ume activate labda vibration.... Iyo ita turn off. Ume open data iyo ita close.... Mwanga itapunguza.... Kiufupi hazina maana.... You can do those things manually. Na uka save battery. Chakufanya.... Restrict auto run apps zote. Na start up apps.... Pia tumia mwanga vizuri. Na pia uwe unapunguza matumizi ya simu ambayo si ya lazima. Itasaidia sana simu yako kukaa na chaji...

Karibu
KisomaX
 
Last edited by a moderator:
hazisaidii. ila hii nzuri ila inabidi uwe umeroot kasimu kako `greenify"
 
tumia Du battery saver pro inauzwa ktu km dola 6 hv ni nzr sana
 
Mnaliwa pesaa tu.

Me ninaitumia mwez wa 6 sas na naona kdg inarefusha mda wa betr kuisha zaman nlkua nkiwasha data natmia kwa masaa km 5 na dk20 lkn sas hv nawez nikalast had masaa 6 na nusu
 
tumia Du battery saver pro inauzwa ktu km dola 6 hv ni nzr sana

Du battery wameweza kwenye advertisement, site kibao utakuta matangazo yake, lakini kazi yake sio yaajabu sana kwamba itatofautiana na apps nyingine.
 
Hazisaidii. Huwa ni kama profiles ambazo zina control power consumption. Mfano ume activate labda vibration.... Iyo ita turn off. Ume open data iyo ita close.... Mwanga itapunguza....

Sasa wewe unaelezea kazi zake afu unasema hazina maana,
how long you gonna control those brightness and automatic data consumption ?

 
Last edited by a moderator:
Du battery wameweza kwenye advertisement, site kibao utakuta matangazo yake, lakini kazi yake sio yaajabu sana kwamba itatofautiana na apps nyingine.

Nakushaur tumia Du battery saver pro inauzwa playstor size yake ni km 6mb hv hutjuta...m nlkua natmia battery doctor ila sasa hv hii Pro naona angalau inajtahid kusav power
 
Sasa wewe unaelezea kazi zake afu unasema hazina maana,
how long you gonna control those brightness and automatic data consumption ?

Mkuu huwa nafanya mwenyewe manually. Naona hiyo app ni kama mzigo.

Huwa naondoa permission ya start up apps kama camera360,facebook,whatsapp...... Huwa naachaga keyboard tu(huwa ni ya kudownload)

Naweka auto sync off.

Naondoa vibrations zote

Naweka sauti ya kawaida ktk ringtone and all notifications

Nazima auto rotation.

Na disable always on mobile data. .
Battery yangu ni 1750mAh inatoboa masaa 28-30. Ktk matumizi ya data ni 8hrs.

NB : simu ina 1year.

Na kufanya hayo yote haimalizi hata dk 1.5 .... Because vyote hivyo vinafanyika ktk sehemu mojo ( setting)
 

you are blessed. Acha mindorobo iendelee kutafuta battery saver
 
Habari zenu wakuu,

Nlikuwa naomba kuelimishwa kidogo kuhusu hizi apps za power saving. Je, huwa zina faida kweli? Mfano mimi natumia app ya battery doctor lakini bado charge inaisha mapema. Nlikuwa naomba kujuzwa ipi ni app nzuri kwa tecno m3?


Hakuna app inayoweza kuSavw battery, app zote zinaongeza mzigo kwenye simu. Cha kufanya cheza na settings mwenyewe,

Brightness weka AUTO
zima WIFI 📶 wakati haitumiki
Zima BLUETOOTH wakati haitumiki
Zima DATA wakati haitumiki
Zima Tethering wakati haitumiki
Zima GPS wakati haitumiki
Data weka EDGE -2G wakati huhitaji speed ya juu, kama ni kuchat tu
 
you are blessed. Acha mindorobo iendelee kutafuta battery saver

Hahaha thanks mkuu..... Hawa bado wanaamini pia antivirus za playstore ziko zinafanya kazi efficiently. Ktk simu zao
 
Hiyo power saving yenyewe unaiongeza kuja kula umeme tu humo kwa vitu ungeweza kucontrol mwenyewe
Cheza na settings to hapo

Lakini mwisho wa siku inategemea na matumizi yako ya simu
 

Just personal hating, or low device space lakini unavyovifanya wewe manually yenyewe inafanya automatically sasa mnaposema hazina maana/kazi wajinga ndo watakao elewa, kwenye device kuna background apps nyingi tu zinazorun (processes) lakini yenyewe inaziclose.

Mi nna apps zaidi ya 90 kwenye simu natumia AFwall+ na hiyo Du saver siyo tu kwamba naamini itasave battery lakini itaclose data, Wi-Fi e.t.c when i want to optimize it.
 

Also ni personal hating....... Kuchukia mfumo wangu ninao utumia... I mean manual optimization ...
KisomaX
 
Last edited by a moderator:
Also ni personal hating....... Kuchukia mfumo wangu ninao utumia... I mean manual optimization ...
KisomaX

Unadefend your personal interest by disagreeing from reality.
Sichukii mfumo unaotumia (manually) lakini kinachonishangaza ni wewe kuita power saving apps useless wakati they do a great job that personally you can't nakutaka wote tuagree with the way you trying to make your point legitimacy.

Nimekwambia pale juu kwamba labda unambie low drive space ndio tatizo/RAM kwamba zitajunk your system.
Ila kama mimi naonekana hater kudisagree with you folks with reality facts then damn right am a hater.

snipa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…