supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,970
najuta kukufahamuNahisi ww ni mwanamke,
Asilimia 90 ya wanawake duniani kote hawaijui raha ya tendo la ndoa (kupizi/kukojoa)
Wengine wana watoto hata wanne lakini anakwambia hajawahi kusikia chochote,
Wengi hua wanafake tu.
Inasikitisha sana kwa kweli.
Nitafute nikuunganishe na wenzio watakupa ushauri wa nini cha kufanya.
So angesema yy jinsia gani....!Huyu bila shaka ni ke.
Umeshamjua ni jinsia gani?
Sababu tungejua jinsia ingekuwa rahis sana kumshaurHata Mimi sijamsomaa niwa jinsiaa ganiii
Umetisha kwautamu huoYani ni kama vile unakula tikiti maji lililoiva vizuri lenye ubaridi kabla haujamaliza unapewa kaugali laini na kasato kakukaanga kenye pilipili au kambuzi choma baada ya hapo unachushia mango juice.Kabla haujatoka mezani unapewa kamzinga ka red lebel kameng'enye chakula nadhani umeelewa huo utamu
Mfundishe ulifanyaje mpaka ukaanza kuhisi rahahata mi nilikuwa sisikii ila sikuhizi ohooooo
namfundishaje sasaMfundishe ulifanyaje mpaka ukaanza kuhisi raha
Hahahahaha utakosaje kujuta kwa mfano.najuta kukufahamu
kwan nini hasa kilichokuwa kinakupelekea usihisi raha?namfundishaje sasa
unamuunganishajeNahisi ww ni mwanamke,
Asilimia 90 ya wanawake duniani kote hawaijui raha ya tendo la ndoa (kupizi/kukojoa)
Wengine wana watoto hata wanne lakini anakwambia hajawahi kusikia chochote,
Wengi hua wanafake tu.
Inasikitisha sana kwa kweli.
Nitafute nikuunganishe na wenzio watakupa ushauri wa nini cha kufanya.
me nilikuwa nachukia wanaume ila baadae nikaanza kuwapenda na nilipata mtu wa kwenda na mimi pole pole baada ya kumweleza ukweli.. lazima awe open kwa mwenziekwan nini hasa kilichokuwa kinakupelekea usihisi raha?
Unauliza ili nikuunganishe na wewe au??unamuunganishaje
Tendo la ndoa lina raha sana hasa umpate ayejua kukata mauno,Sijawahi kusikia laha ya tendo la ndoa zaidi ya maumivu. Naona watu wanahonga na kuhongwa pesa kwa ajili ya tendo hilo.
Natamani kushare na nyinyi kwa maandishi tena kwa kutumia lugha yenye staha raha yake ipoje?
yeah niunge nione ....Unauliza ili nikuunganishe na wewe au??
Be specific.
raha kama unakula kitimoto vileeeSijawahi kusikia laha ya tendo la ndoa zaidi ya maumivu. Naona watu wanahonga na kuhongwa pesa kwa ajili ya tendo hilo.
Natamani kushare na nyinyi kwa maandishi tena kwa kutumia lugha yenye staha raha yake ipoje?
Kwa hiyo umetoka kwenye uAdam na sasa unataka kua Eva.yeah niunge nione ....
Siku hizi unakojozwa vizurihata mi nilikuwa sisikii ila sikuhizi ohooooo