Ipi ladha ya tendo la ndoa?

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
955
Sijawahi kusikia laha ya tendo la ndoa zaidi ya maumivu. Naona watu wanahonga na kuhongwa pesa kwa ajili ya tendo hilo.

Natamani kushare na nyinyi kwa maandishi tena kwa kutumia lugha yenye staha raha yake ipoje?
 
Nahisi ww ni mwanamke,
Asilimia 90 ya wanawake duniani kote hawaijui raha ya tendo la ndoa (kupizi/kukojoa)

Wengine wana watoto hata wanne lakini anakwambia hajawahi kusikia chochote,

Wengi hua wanafake tu.
Inasikitisha sana kwa kweli.

Nitafute nikuunganishe na wenzio watakupa ushauri wa nini cha kufanya.
 
madhara ya kulianza tendo katika umri mdoho plus kujchua yan kujpima oil
 
Bila shaka utakuwa mwanamke,ni ngumu mwanaume kusikia maumivu wakati wa tendo la ndoa na raha ya mwanaume inajulikana ni pale anapomwaga ugirigiri,kwa hivyo basi wewe unafanya mapenzi na watu ambao huwapendi toka moyoni,au hawana udambwi au pengine hawakuandai vizuri.Karibu nikuonyeshe raha ya hiyo kitu.
 
Ukifuata huu ushauri utajuta. Nasikia harufu ya kusagana kwenye huu ushauri
 
Bila shaka utakua umekeketwa,wanawake waliokeketwa hawapati raha ya tendo la ndoa tofauti na wanawake ambao awajakeketwa.
 

Hapana mkuu,uyu kakeketwa totally. Yani kaondolewa ule utamu wote. Ukifanya nae anakua mkavu sana na ata upige game siku nzima hawezi kufeel chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…