Ipi Kamera bora ya simu?

nadry

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
606
596
Habari zenu wananzengo hususani wa Jamii Forum!Mimi ni mojawapo ya watu ambao wana uelewa hafifu wa mambo ya simu hasahasa mambo ya KAMERA.

Jamani Nina mpango wa kununua simu moja wapo Kati ya hizi;
(1)Ina macho matatu jicho la kwanza MP 108,jicho la pili MP 8, jicho la tatu MP 2.

(2)Ina macho matatu,jicho la kwanza MP 50.jicho la pili mp 48 Na jicho la tatu MP 48.

Je katika simu mbili hapo juu IPI simu yenye KAMERA kali?
 
simu yenye camera kali ni ile yenye sensor kali,sio pixel nyingi,ukikutana na yenye sensor kali na pixel nyingi,hapo utakutana na akina s21 ultra nk.

so far,humo kwenye pixel utafaudi zoom tu,bila kuchafua picha,hapa ungetaja model ya simu zako hizo watu wakuelekeze kitu cha moja kwa moja,maana no 2 inawezakuwa na camera nzuri kwa sababu tu ni huawei labda nk.
 
Mkuu we taja aina ya hizo simu wadau watamaliza kazi
 
Back
Top Bottom