Ipi kali kati ya hizi gari.mark X na subaru legacy b4 zote ziwe 2007

kama shida yako ni comfortability, Toyota ametengeneza Salon car mbili tu ni Crown na Mark X ila yana kiu. Kama kipato chako ni cha kubangaiza nenda kwa yale mengine yaliyozoeleka hapa Bongo
Yeah zinakunjwa sana
 
watu wamezowea wakitaka kununua gari ilo kuwa sio toyota waulize spare tatizo sio spare maana hununui gari mbovu ila toyota ni gari mbovu ndio maana spare nyingi kila mara ina haribika kwa kibiashara mwenye duka ndio ataweka spare za toyota kwa wingi anajua ndio zinazo nunuliwa sana hizo gari kabila nyengine zinakuwa imara na pia sifikirii kama kuna company ya magari inayo kubali kutengeneza magaari mabovu ili wale hasara na wasiingie kwenye ushindani wa biaashara
 
Nimekupata mkuu
 
Nimepata nafasi ya ku endesha gari zote mbili....Mark X kwa comfortability, appearance pamoja na stability iko vizuri pia ulaji wa mafuta unahitaji pochi kidogo..Tukija kwa legacy performance ipo vizuri sana na ulaji wa mafuta unategemea kwa case yangu nimetumia yenye turbo kwa hyo inategemea ikiwa ina engage..mimi ni mpenzi wa sports car ninge opt legacy kwasababu ina option ya automatic na manual kwa wakati mmoja..
 
Kama we ndo nilikuwa nakutafta
Mmhh vp kuhusu swala la spear kwa legacy na rough road
 
Niungane na~ mohdy~ hapo juu suala la spear siku hizi sio la kuogopesha unapo fikiria kufanya manunuzi ya gari sana sana kwa gari zetu hizi za mizunguko ya hapa na pale, spear zipo isikupe shida. Kwa maeneo yetu haya rough road hazikwepeki ila road design make ya legacy si nzuri sana kwa rough road kwa kuwa zipo chini ukitofautisha na subaru zingine kama forester au wrxsti..hayo ni kwa mtazamo wangu.
 
Poapoa mkuu legacy gan uliokuwa nayo
Af kuhusu rough road namaanisha compared to mark x kwenye kumeza mabonde
 
ndugu yangu spea zipo nyingi tu za subaru, kuhusu ulaji wa mafuta ni wakawaida. subaru aina magonjwa mengi ni imara ukilinganisha na mark x, kuhusu barabarani ndo umefika, kitu imetulia balaa, unaweza fika spidi 100+ afu usijue umefikaje. mimi nakushauri chukua mnyama subaru b4
 
Ko ambayo haina turbo ndo bora kabisa
 
Back
Top Bottom