Malcom_X
Member
- Mar 23, 2017
- 20
- 49
Shusha maoni yako.......View attachment 923880
Umeongea jambo la Ukweli, injini ya TVS haina nguvu kabisaaa compared to BoxerWe call it Boxer Mnyama BM 150
The bike has really 150cc......
Hlx 150 kwangu first ni shapeless na hata pia ina sound flani ya kihuni!
Ni vijana ndo wanazitia ubovu wa kutozingatia taratibu za servicesUmeongea jambo la Ukweli, injini ya TVS haina nguvu kabisaaa compared to Boxer
Sawa,but ni ipi inakuwa na nguvu kati ya tvs na bm 150 mkuu......mkuu im sure ukiwa na bm 150 inatembea zaid ya tvs 150.....Binafsi nimetumia zote boxer 150cc na TVS 150cc, naona TVS ni bora sana hata kwa safari nimetumia sana. Tatizo la boxer 150cc ni 4 gear hivyo kwa safari ndefu ina-run ktk higher rpm hivyo mafuta mengi sana na power inapotea.
Boi chukua boxer ipo kibabe sema labla spare zake ndo beiShusha maoni yako.......View attachment 923880View attachment 923881
Achana na tvs mkuu inatembea mbayaUmeongea jambo la Ukweli, injini ya TVS haina nguvu kabisaaa compared to Boxer
Tvs inatembea balaa mkuuSawa,but ni ipi inakuwa na nguvu kati ya tvs na bm 150 mkuu......mkuu im sure ukiwa na bm 150 inatembea zaid ya tvs 150.....
Kwa muonekano, nguvu, kasi au kitu gani...?Shusha maoni yako.......View attachment 923880View attachment 923881
Tuwekee DUCATI yako tuione hapa boss.Hizo zote ni bodaboda.