Mwaga mchele wote usaidiwe hujasema Kama umezaa nae...Mkuu mpaka unazaa nae miaka yote hiyo si keshakujua?
sante mkuuAmani kwenu waungwana,
Kwa wenye mahusiano ya kinyumba kwa muda mrefu na Mtoto/watoto juu, Jambo lipi la msingi linaweza kumpa sababu mwanaume kukawia kumpeleka mwenzi wake madhabahuni?
Natanguliza shukrani
sante mkuu
kwa upande mwengine mwanamume anaweza kukawia kumpeleka mwenziwe madhabauni au kufunga ndoa kwa sababu ifatayo
1. kutukua na imani na mwenzie > baadhi ya wanamausiano wanakuaga wanavulugu za chini chini sasa mtu alie timamu upenda kuvuta subila maana hujipa himani uenda msimu ujao mwenziwake atabadilika maan ata mungu umpa muda mtu " EZEKIELI18 > 21“Kama mtu mwovu akiachana na dhambi zake zote alizotenda, kama akishika kanuni zangu zote, akatenda yaliyo ya haki na sawa, huyo hakika ataishi, hatakufa. 22Makosa yake yote aliyofanya hayatakumbukwa; kwa sababu ya uadilifu wake ataishi. 23Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.
Ndio maana hata wababa nao usubilia labda mmama atabadilika ili amvike pete na mwiasho siku mala mwaka unakwasha na swala la ndoa ua kama ndoto ...
thanks billions
WANAKUJA KUKUPA MWAONGOZO MKUU.Amani kwenu waungwana,
Kwa wenye mahusiano ya kinyumba kwa muda mrefu na umezaa nae Mtoto/watoto, Jambo lipi la msingi linaweza kumpa sababu mwanaume kukawia kumpeleka mwenzi wake madhabahuni?
Natanguliza shukrani
Kweli kabisa ht Mimi nilitarajia kufunga ndoa mwakani ila nimeghairi. Wanawake wana change sanasante mkuu
kwa upande mwengine mwanamume anaweza kukawia kumpeleka mwenziwe madhabauni au kufunga ndoa kwa sababu ifatayo
1. kutukua na imani na mwenzie > baadhi ya wanamausiano wanakuaga wanavulugu za chini chini sasa mtu alie timamu upenda kuvuta subila maana hujipa himani uenda msimu ujao mwenziwake atabadilika maan ata mungu umpa muda mtu " EZEKIELI18 > 21“Kama mtu mwovu akiachana na dhambi zake zote alizotenda, kama akishika kanuni zangu zote, akatenda yaliyo ya haki na sawa, huyo hakika ataishi, hatakufa. 22Makosa yake yote aliyofanya hayatakumbukwa; kwa sababu ya uadilifu wake ataishi. 23Je, mimi Bwana Mwenyezi-Mungu, nafurahia kufa kwake mtu mwovu? La hasha! Mimi napendelea aachane na njia zake mbaya apate kuishi.
Ndio maana hata wababa nao usubilia labda mmama atabadilika ili amvike pete na mwiasho siku mala mwaka unakwasha na swala la ndoa ua kama ndoto ...
thanks billions
Sababu kubwa mwanamume kuoa ni kubalehe,period. Hayo mengine mbwembwe tu na uoga usiokuwa na maanaAmani kwenu waungwana,
Kwa wenye mahusiano ya kinyumba kwa muda mrefu na umezaa nae Mtoto/watoto, Jambo lipi la msingi linaweza kumpa sababu mwanaume kukawia kumpeleka mwenzi wake madhabahuni?
Natanguliza shukrani
Mjadala ufungwe jibu ni hili.sante mkuu