Ipi inauma sana kati ya mke na Dada kumkuta na mtu?

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,143
5,610
Habari wanajukwaa, kama title inavyojieleza, ipi ukikutana nayo hapo juu inakuumiza sana katika maisha yako ?
Karibuni sana tupeane mawazo.
Usichafue ustaarabu.
 
Wewe dadako ukimkuta na mtu unavunga 2?
Khaa we nawe sasa dadaako ulitegemea awe mtawa ama,we unadhani na yy hahitaji kupata mautamu unayowapa dada za wenzako,mimi dadaaangu hawezi niuma sababu najua lazima ataliwa tu vyovyote iwavyo.hata nimkute na nani alimradi tu huyo bashaake haniletei dharau.
 
Sasa dada yako ukimkuta na mwanaume unapata wivu wa nn?!...unataka ww ndio uwe mwanaume wake?!


Inaelekea mleta mada bado una umri mdogo sn
 
Mkuu dimaa naomba nijibu swali kwa swali

Fact ya mwenye dada hakosi shemeji na
Fact ya mwenye mume hakosi mume mwenza

Ipi inauma?
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Ha ha ha ha nyie ndo wale ambao Dada zenu wakiolewa mnalia, ukiulizwa Kwanini unalia et nilimzoea.

huyo atakuwa siyo Dada yako Bali pumziko lako ndo maana unaumia kwa kuchukuliwa na mwingine
 
Makubwa nayo haya mm nangojea umri wako uende ili ujaaliwe kupata mke naamini siku utakayomkuta mkeo na mwanaume mwengine na dada ako utakapomwa na mwanaume yup atakuuma zaid nangojea mrejesho kutoka kwako mleta uzi
 
Back
Top Bottom