GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 63,021 Reaction score 126,444 Jun 22, 2017 #41 Dragoon said: 9. natamani nirudi shule nimemiss alama za juu juu kwenye hesabau Click to expand... Na kuna uwezekano pia ufaulu wako wa mwisho wa Somo la Hesabu ilikuwa ni 23% kutoka ule wa nyuma wa kupata 17% katika Mitihani wako.
Dragoon said: 9. natamani nirudi shule nimemiss alama za juu juu kwenye hesabau Click to expand... Na kuna uwezekano pia ufaulu wako wa mwisho wa Somo la Hesabu ilikuwa ni 23% kutoka ule wa nyuma wa kupata 17% katika Mitihani wako.
wOn LifE Member Joined May 31, 2017 Posts 31 Reaction score 11 Jun 22, 2017 #42 white hat said: Simu ndo inaonyesha jibu sahihi Click to expand... Kanywe soda,Ntalipa.
wOn LifE Member Joined May 31, 2017 Posts 31 Reaction score 11 Jun 22, 2017 #43 64gb said: mmmh hiyo calculator kuna uwezekano aliyeingiza hiyo hesabu haja bonyeza key ya = hiyo moja ilikuwepo kabla hajaandika hyo hesabu, Click to expand... Umestuka mkuuu
64gb said: mmmh hiyo calculator kuna uwezekano aliyeingiza hiyo hesabu haja bonyeza key ya = hiyo moja ilikuwepo kabla hajaandika hyo hesabu, Click to expand... Umestuka mkuuu
Mwanzo ni Mwisho JF-Expert Member Joined Mar 9, 2016 Posts 4,394 Reaction score 10,836 Jun 22, 2017 #44 jibu ni 1 hapo casio wapo makini.. MAGAZIJUTO 6÷2(2+1) tunaanza kutoa mabano.. 6÷2×2+2×1 =6÷4+2 =6÷6 tunaenda kwenye gawanya. 6÷6 =1
jibu ni 1 hapo casio wapo makini.. MAGAZIJUTO 6÷2(2+1) tunaanza kutoa mabano.. 6÷2×2+2×1 =6÷4+2 =6÷6 tunaenda kwenye gawanya. 6÷6 =1
Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,813 Jun 22, 2017 #45 Dragoon said: 9. natamani nirudi shule nimemiss alama za juu juu kwenye hesabau Click to expand... Hesabu lilikuwa dhehebu lisilo na waumini wengi utadhani dini ya mashahidi wa Yehova! 😀😀😀
Dragoon said: 9. natamani nirudi shule nimemiss alama za juu juu kwenye hesabau Click to expand... Hesabu lilikuwa dhehebu lisilo na waumini wengi utadhani dini ya mashahidi wa Yehova! 😀😀😀