Losser Bad
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 584
- 1,348
ulivyotumia kichwa umepata ngapi?
weka kanuni na njia hapa ili tuone ukweli wa ukisemacho
haya tuishie hapa.Mkuu wewe ulivyoleta jibu lako uliweka kanuni na njia kufikia jawabu lako..!? Au umeamua tu kuiamini hiyo device..!?
Kanuni hapo ni magazijuto,ukishafungua mabano itakuwa kwenye form hii 6÷2×3 kwa mujibu wa kanuni lazma kwanza ugawanye hapo ambapo itakuja kwenye form hii 3×3 sasa kwann jibu lisiwe 9haya tuishie hapa.
nilie kuwa nabishana nae aliua anasema jibu ni 1Kanuni hapo ni magazijuto,ukishafungua mabano itakuwa kwenye form hii 6÷2×3 kwa mujibu wa kanuni lazma kwanza ugawanye hapo ambapo itakuja kwenye form hii 3×3 sasa kwann jibu lisiwe 9
Changanua kanuni yako na wewe tuone limekujaje jibu la Casio ili tuelimishane na sio tuishie kukosoana tu
Ngoja,labda ataleta kanuni aliyotumia km sio magazijutonilie kuwa nabishana nae aliua anasema jibu ni 1
na mimi nikamwekea picha hii
View attachment 528042
ila akaendelea kubisha
Casio ipo sahihi.
Kanuni katika hii hesabu (6÷2×(2+1) zinasema:ulivyotumia kichwa umepata ngapi?
weka kanuni na njia hapa ili tuone ukweli wa ukisemacho
Wacha weeeee ukifungua mabano kinachofuata ni kugawanya na si kuzidisha according to BODMASKanuni katika hii hesabu (6÷2×(2+1) zinasema:
1) kwanza kilicho kwenye mabano unajumlisha (1+2=3)
2) kisha unazidisha (2×3=6) unapata (6÷6=1)
3) au unagawanya (6÷2=3) unapata 3×3=9)
Wacha weeeee ukifungua mabano kinachofuata ni kugawanya na si kuzidisha according to BODMAS
Yenye nguvu kivip mkuu?.Angalau tumekubaliana kwamba kilicho kwenye mabano hutanguli kwanza.
Swali ni ipi ynye nguvu kati ya kugawanya na kuzidisha kama hujaweka mabano?
Kwa mfano
Kanuni hapa inasemaje:
6÷2×3 na 6÷(2×3) au 6/(2×3) na kadhalika.
Mmmh hivi 6÷2(2+1)kulingana na jinsi tulivyofundishwa tena kwa kutumia MAGAZIJUTO jibu twapata 1 mkuu.
tuanze na mabano
2(2+1)= 4+2= 6
6÷6= 1.