I S T best 1st car so far.
Vitu vya kuzingatia.
(1) Documents. Hakikisha gari ina valid documents original. Na mkabadirishane TRA maana IST zinapigwa sana unaweza kuta watu walibadirisha chasis number. So make sure Chasis number ya kwenye kadi ipo sawa na gari.
(2) Owner. Usinunue gari kwa OWNER MASIKINI. Tafuta mtu ambae atleast ana magari mawili au matatu. Masikini bwana tunavitumia gari tunajijua wenyewe.
(3) Nenda na mtu mwenye same car akatest drive. Hii itasaidia maana ata compare na gari lake afu atakuambia hui is better au worse. Sijasema fundi, nimesema mtu tu mwenye same car labda mwaka mmoja hivi. Tatizo mafundi kwenye test drive hawapo vizuri, washazoea madude mabovu kwahiyo gari ata ikiwa haina nguvu watasema poa tu.
(4) Nenda na fundi. Akaangalie mambo ya ufundi.
(5) Ukiridhika kila kitu nunua. Mlipiane Bank sio cash. Na mjaziane mkataba fresh.
(6) NENDA KWA YULE DEMU ALIEKUKATAA KIPINDI UMEPIGIKA UKIWA UMA DRIVE WINDOWS DOOOOOOOOOOOOWN MZIKI KAMA WOOOOOOOTE..
Jitahidi pia mkataba wa mauziano uwe na list ya EFD ya wakili mana usipokuwa na list utasumbuka wakati wa kubadilisha umiliki. Spacio ipo vizuri kwani apart from 7 seat ina nafasi kubwa hasa ukikunja seat za nyuma buti inakuwa na nafasi
Mkuu hapo IST usifananishe na vitu vya ajabuHabari wadau..
Naomba kwa wajuaji wanijuze gari gani inafaa apo kwa ss watu tunaohitaj kumiliki gari kwa mara ya kwanza.
NB: Nataka kununua kwa mtu mkononi so ukinambia na maelezo ya kuzingatia nitashukuru.