frank wa moyo
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 480
- 114
well said mkuuInategemea na huyu rafiki ni wa aina gani, maana kuna rafiki au jamaa ambao unawajua ni viwembe sana so hata kufumaniwa unategemea itatokea muda si mrefu.
Ikatokea kwa mtu ninayemfahamu na kumuamini na sikuwahi kumtegemea hivyo itaniuma sana kwa kweli maana kuumbuka kwake ni kuumbuka kwangu. Ila akiwa kiwembe inamaana hata jamii yenyewe haitashtuka ila utasikia tu ''za mwizi arobaini''
Aisee nahisi zote zinaumiza. Yaani najaribu kupata picha lkn haikuji kabisa eti twin Fixed Point wewe ipi itakuchoma au snowhite vipi mtazamo wako ktk hili mmmh .
Kati ya hivi ipi itakuumiza zaidi ugugundua?
1. Kumfumania mke/mme na rafiki yako kipenzi ambaye umeshibana kweli kweli AU
2. Kumfumania na mtu usiye mjua kabisa!!!
Hahahahahahaha asante mkuu. Si unajua nimewaka ya rangi sasa hivi na ile bado ipo sikutaka watu wanikremuNisamehe kama nitakuwa naingilia private issues ila ile picha yako ya kwanza ni nzuri kkuliko hii.
Ni mtazamo wangu tu msinishambulie !
Usijali nitairudisha mkuu. Unajua huyu dada mwenye hii picha huwa nampenda sana na hasa nilipoangalia speech yake aliyokua anazungumzia ubaya wa one side story.Ile inaonekana mwanamke makini, respectable,mpole...... in short it was beautiful.
Kati ya hivi ipi itakuumiza zaidi ugugundua?
1. Kumfumania mke/mme na rafiki yako kipenzi ambaye umeshibana kweli kweli AU
2. Kumfumania na mtu usiye mjua kabisa!!!
Noted mkuuIle inaonekana mwanamke makini, respectable,mpole...... in short it was beautiful.