Ipi ilikuwa idea kali kuhusu ujumbe wa UKIMWI kati ya hizi?

Najua 3, 5, 11 na 13 tu wengine sijasikia na hata kamaa niliwahi basi hazikunivumia
 
Hii ndio Orodha yangu,
1. Ferouz - Starehe (Hii ilichukua (mpaka tuzo.)
2. Mwana FA - Alikufa kwa ngoma.
3. Joseline- Mshikaji mmoja.
 
Thanks God namaliza mwaka salama
IMG_20211230_085151_944.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom