Electronics zimeshuka bei sana mkuu usipate stress, jichange chukua LG au Samsung inch 32 kati ya 480k hadi 550k.
Fanya ivo utakuja kunishukuru baadae.
Kama pesa haitoshi unaweza kwenda dukani ukalipia pesa kiasi unapewa risiti fulani kisha unaendelea kujikusanya.

Mhh, bosi nafuu ni ghali zaidi. We jichange change ununue LG, japo inch 32. Sababu hizo zote ulizozitaja apo ni magumashi, huwa zinachora mistari katikati ya kioo