B Brigadia Member Nov 8, 2016 44 17 Apr 4, 2017 #1 Wakuu nataka kununua Panga Boy (feni) sita za saizi ya kati, lakini mimi sio mzoefu wa hivi vifaa. Vipi na zenyewe zina brands au aina? Na je ipi ni brand bora zaidi? Natanguliza shukurani.
Wakuu nataka kununua Panga Boy (feni) sita za saizi ya kati, lakini mimi sio mzoefu wa hivi vifaa. Vipi na zenyewe zina brands au aina? Na je ipi ni brand bora zaidi? Natanguliza shukurani.
yello masai JF-Expert Member Jan 8, 2016 3,636 3,659 Apr 4, 2017 #4 dronedrake said: panasonic 56" , 95W hutajutia Click to expand... Zinakuwa bei gani mkuu
dronedrake JF-Expert Member Dec 25, 2013 23,899 57,959 Apr 4, 2017 #5 yello masai said: Zinakuwa bei gani mkuu Click to expand... si chini ya 80,000