Ipi faida na hasara ya Mwanamke mjamzito kula Udongo?

Puyugu 01

JF-Expert Member
Feb 3, 2018
573
455
Habari jf, nimekuwa nikijiuliza maswali lukuki pasipo kupata majibu stahiki kila siku, ni imani yangu sasa kupitia Madoctor aidha wahusika wenyewe(wajawazito) waliyomo humu wanijuze au watujuze ni kipi kinachowapelekea nyie wanawake wajawazito mle Udongo pindi muwapo ktk hali hiyo?, pia napenda ama tunapenda kujua mnapata nini mnapokula au mnakosa nini msipokula?, lkn ni vyema pia mkatujulisha faida na hasara ya kubwia Udongo.

Karibuni.
 
Achana na ishu ya faida na hasara.

Mama mjamzito kuhisi hamu ya kula udongo mara nyingi hutokana na uhitaji wa madini ya chuma mwilini kuongezeka hivyo mwili unakuwa ni kama umepungukiwa hayo madini.

sasa ili kupata madini hayo ndio maana huwa wanapewa clinic, pia kwenye mboga za majani, samaki, dagaa nk
 
Hivi kuna madhara yeyote endapo mama mjamzito anakula udongo na hatumii dawa yeyote ile?
 
Back
Top Bottom