Hili pengine linaweza kusaidia kupunguza ongezeko la ukimwi nchini ebu tusaidiane jamani lipi bora kati ya hayo at keast madada zetu wawezekumaliza vyuoni bila kuogopa kwenda kupima ngoma
ipi degree bora kutoa hela ama kuvua nguo uapte degree
Hili pengine linaweza kusaidia kupunguza ongezeko la ukimwi nchini ebu tusaidiane jamani lipi bora kati ya hayo at keast madada zetu wawezekumaliza vyuoni bila kuogopa kwenda kupima ngoma ipi degree bora kutoa hela ama kuvua nguo uapte degree
zote si bora , ilio nakiwango kizuri ni ile SHAHADA ya A.l. Mrema aliyoipaya kwa miezi mitatu Kutka chuo kikuu fulani Marekani. maana inaokoa sana muda na ghalama yake si kubwa sana. maana humuhitaji Baregu wala Mvungi kukushushia nondo , hii inakua presented na kijana awa kidato cha sita kule Uingereza ambae babaake anahost website....nini unataka tena.