Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,048
- 3,409
Wanaume wengi siku hizi tupo very selective ktk wanawake
Yaani kila mwanamume anataka mwanamke mrembo wa kumvutia
Ila ktk hili, kila mtu ana definition yake ya uzuri huo.
Mwanamke anaeza kuwa mrembo kwako na asiwe mrembo kwa mwezio.
Ipi definition yako ya uzuri wa mwanamke? Unaangalia vigezo vipi hadi useme huyu mwanamke ni mzuri?
Kwangu mimi, mwanamke anayejambia mbali ndo mzuri /mrembo. Yaani anajamba Masaki kinanukia gongo la mboto. Wale wanawake walio jazia jazia wale

tuko pa1
mm nataka nkimuona tyu anivutie af ss ndo nijue tabia....shundu muhm sana