Ipi dawa ya kuzuia kipara

Ipi dawa ya kuzuia kipara

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,992
Reaction score
12,036
Nywele zangu zinanyonyoka utosini na zinakuwa nyepesi...naona dalili za kipara wajomba zangu asilimia 30 wana vipara.

Sasa salon naponyoa kinyozi kanishauri nitumie mafuta ya mnyonyo yanazuia nywele kupotea...je kuna ukweli wowote...kama sio ni njia ipi ya kuzuia kipara
 
Dawa nzuri ya kuzuia kipara inashusha testosterone,so kupiga mzigo itakuwa shughuli kweli kweli..upo tayari kwa hilo??
 
Nywele zangu zinanyonyoka utosini na zinakuwa nyepesi...naona dalili za kipara wajomba zangu asilimia 30 wana vipara.

Sasa salon naponyoa kinyozi kanishauri nitumie mafuta ya mnyonyo yanazuia nywele kupotea...je kuna ukweli wowote...kama sio ni njia ipi ya kuzuia kipara
JIKUBALI kwa na wewe unaingia kwenye hiyo 30%. Kwani nani alikuambia kuwa kipara ni ugonjwa hadi uanze kutafuta dawa?
Ndio utakuta mtu jumapili hadi jupili mtu nywele hazionekani kisa kipara.
 
Ila nimeogopa baada ya mdau kunitisha kwamba yanaondoka na nguvu za kiume
Mkuu jaribu kuyafanya mafuta ya mnyonyo kuwa mafuta ya kujipaka kichwani kila siku.hasa sehemu zilizoathirika. Tunaomba mrejesho halafu mkuu.
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri ila kichwa changu na upara ndio tatizo ni vile vichwa vya Kassim Majaliwa au Membe huwezi kukata zungu yaani ukipata kipara unachekesha
JIKUBALI kwa na wewe unaingia kwenye hiyo 30%. Kwani nani alikuambia kuwa kipara ni ugonjwa hadi uanze kutafuta dawa?
Ndio utakuta mtu jumapili hadi jupili mtu nywele hazionekani kisa kipara.
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri ila kichwa changu na upara ndio tatizo ni vile vichwa vya Kassim Majaliwa au Membe huwezi kukata zungu yaani ukipata kipara unachekesha

Mkuu nakushauri usikate tamaa. Dawa zipo nyingi ila sina ushahuda, Ndio mana nikakwambia utuletee na mrejesho. Pia nyengine Kitunguu maji anakipara halafu unapaka kichwani wakati wakulala halafu asubuhi unakosha, Pia uwe unakula japo kitunguu kimoja kibichi kwa siku.
 
Sijui kama muhimbili wana kitengo cha kupandikiza nywele?

Hospitali zetu uchwara hizi zinaweza vitu rahisi rahisi tu kama kutibu malaria.

Kuna hospitali iko Istanbul inapandikiza nywele kwa kuzichomeka ndani ya follicles na kuzifanya ziote kama nywele za kawaida.

Ni procedure inayogharimu mapesa mengi lakini ni ya uhakika.

Nywele zitarudi kwenye ubora wake na kwa kasi.
 
Usidanganywe na hawa waganga wa kienyeji sijui paka kitunguu mara koroga asali.

Procedure ya kidaktari ya uhakika ni kufanyiwa upandikizaji wa nywele ndani ya mizizi ya nywele!

Utasugua hilo bichwa na mavitunguu mpaka uote mapembe.

Cheap is expensive!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom