Ipi Combination kati ya HGE na CBG?

Ipi Combination kati ya HGE na CBG?

yaan hwa nasikitika na kuona vile watu wanapoteza muda kumshauri mtu vityu ambavyo sio ndoto yake....kwan ni sawa na bure kwa dunia ya leo.

soma kitu unakipenda ndgu yangu.....mambo ya fursa na nafsa huwa ynakuja tu vile unapenda kitu unakifanya.

npo sekta ya afya ambayo watu wanaipigia debe kila siku humu kuwa inafursa lkn kuna jmaa zangu ambayo walisoma vitu wnavipenda tofauti na afya tena wngine walisoma hzo comb wanaziita kajamba nani (yaan rahisi)......lkn leo kimaisha wameniacha mbali aisee.

Changanua......Goodluck.
 
Mkuu umeongea point, maisha hayana kanuni. Yani we unaweza kupenda hiki, yenye yakakupeleka kule.
Kama hana shinikizo lenye connection, asome unachokipenda ili baadae asimlaumu mtu
 
  • Thanks
Reactions: p2k
Hivi nyie mnataka kufananisha CBG na HGE em mtu mwenye Dv1 ya CBG au two ya kwanza na HGE mwenye one yake aje kwenye TCU ndo ataona utofauti ukogo wapii Kuna jamaa Ana one yake ya CBG saiv anapiga Artcheture engineer pale Ardhii University mwingne Ana piga Interior Degsin Sasa wewe njoo na HGE yko uka ombee hizo course Kama utapata wengne Wana compete na PCB Wale wenye two zao pale UDSM kwa course Kama microbiolog. Molecular biology and Biotechnology Sasa bado na shangaaa kwel au TCU hua hamu ipitii jamanii
 
Attachments

  • Screenshot_20200612-153448.png
    Screenshot_20200612-153448.png
    24.2 KB · Views: 14
  • Screenshot_20200612-153241.png
    Screenshot_20200612-153241.png
    27 KB · Views: 13
combination ipi nzuri kati ya HGE na CBG naombeni maoni yenu wakubwa
CBG ilikuwa zamani dili sikuizi hamuna kitu kipindi kile cbg anasoma adi pharmacy utaumiza ubongo kusoma biology bule at the end unaenda kule SUA ... HGE amuna kitu sijui unasoma uhasibu utakufa njaaa hapa town bro mim brother' wako nakushauli kama una ela kwenu kasome diploma ya afya au engineering utakuja kunishukuru siku moja
 
matokeo yangu ni
hist-c
geo-c
bio-b
chem-c
math-d
phys-d
eng-a
civ-b
kisw-c
Mdogo wangu kwa matokeo hayo Nenda kasome Nursing, Pharmacy au Clinical officer zote kwa ngazi ya Diploma,maana huko kwingine utatuongezea msala mtaani.
 
Back
Top Bottom