Ipi bora kati ya Architecture, Quantity Survey na Land Management and Valuation?

Ipi bora kati ya Architecture, Quantity Survey na Land Management and Valuation?

luqman luqman

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2014
Posts
850
Reaction score
1,403
Habari za wakati wakuu..

Nimechaguliwa chuo cha Ardhi kozi ya Urban and Regional planning lakini nina mpango wa kubadili kozi nikifika chuo nichukue Architecture au Quantity Survey au Land Management and Valuation.

NB: Nilisoma PCB na nimekuja huku tuu sababu ya uhaba wa vyuo vya afya mwaka huu so am working with plan B.
 
wewe wa PCB hesabu huwezi, ungechukua geomatics lakini ata iyo uliyochaguliwa ni nzuri inahusiana na Mipango miji ata iyo LMV ni nzuri
 
Vijana msilazimishe kusoma degree ali mradi kwamba una cut off 4.0 na kutaka kupata mkopo ungeenda hata health allied sciences in diploma level zingekusaidia pia haswa kwa PCB yako hiyoo ila sawa nakutakia maisha mema na rural and urban nnmhh
 
Habari za wakati wakuu..

Nimechaguliwa chuo cha Ardhi kozi ya Urban and Regional planning lakini nina mpango wa kubadili kozi nikifika chuo nichukue Architecture au Quantity Survey au Land Management and Valuation.

NB: Nilisoma PCB na nimekuja huku tuu sababu ya uhaba wa vyuo vya afya mwaka huu so am working with plan B.
Its all depend on what you like the most. Personally ningekushauri usoma architecture hasa ukiangalia ni rahisi kujiajiri kuliko hizo mbili ulizotaja
 
Vijana msilazimishe kusoma degree ali mradi kwamba una cut off 4.0 na kutaka kupata mkopo ungeenda hata health allied sciences in diploma level zingekusaidia pia haswa kwa PCB yako hiyoo ila sawa nakutakia maisha mema na rural and urban nnmhh
Aksantee
 
Architecture iko njema mkuu. Kuchomoka ni rahisi maisha haya ya Uncle Magu
 
Soma kozi ambayo ni rahisi kujiajili.
Kuhusu hesabu wasikutishe nadhani o level ulishinda.
Vyuoni ngoma uanza upya wengine hata adv awakwenda lakini upasua
 
soma architecture, ni rahisi sana kujiajiri na hata ukiajiriwa unapiga kazi zako unakuwa na kazi nyingi sana private ukijidhatiti na kufanya kazi viwango
 
Back
Top Bottom