[Q="KISHOJU, post: 17679557, member: 370232"]Nimefuta fail ya video naomba kusaidiwa iliniyarudishe.[/QUOTE]
Mkuu wangu hoi kitu ungepost kwenye jukwaa la "Habari na hoja mchanganyiko" ungepata msaada haraka sana ila hapa utaambulia tu matusi..
Ila kwa vile we ni new member sikulaumu hata kidogo...ila wakati mwingine ukifika mji mpya jaribu hata kusoma vibao kwani unaweza jikuta umeingia nyumbani kwa mtu bila kujijua... Hatari zaidi itakukuta pale ambapo Huyo mtu atakuwa anapenda 0715 tena kwa kubaka....duuuuuuuu