Ulipoandika tu neno "NGE" tayari nilishajua jinsi gani ubongo wako umefikia kikomo cha kupambanua wazo kwa kina.
Mfano;
1. "Ningekuwa na mabawa ningeruka angani kama ndege"
2. "Ningekuwa na chapaa za kutosha, ningekuwa na ukwasi zaidi ya Jeff Bezos"
NGE = KAMA au vitu vya kufikirika na wala si vya kuthibitika.